johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Noti ina saini ya Waziri na Gavana wa BOT ?Nae aweke saini yake kwenye noti kama mwigulu
wote wawili waziri wa fedha na gavana wa bot.Noti ina saini ya Waziri au Gavana wa BOT?
Sawa sawa mkuuwote wawili waziri wa fedha na gavana wa bot.
Ni hadi awe Mbunge 😀Umeanza na HUENDA….
Maana yake ni tetesi tu
Umeuliza au umejibu ?Noti ina saini ya Waziri na Gavana wa BOT ?
Nimeuliza nimejibuUmeuliza au umejibu ?
Atagombea Jimbo Gani ili awe waziri? Au atakua sehemu ya wabunge 10 wateule wa Rais?Umeanza na HUENDA….
Maana yake ni tetesi tu
Hahahaha, Tanzania na WatanzaniaNimeuliza nimejibu
Abaki huko huko NMBThe best bank CEO ni Charles Kimei tu ambaye aliweza ku survive na kufanikiwa kwenye mazingira magumu
Hawa wa sasa wanaonekana ku perform kwa sababu macroeconomic condition zipo ease lakini sio kwamba wanafanya maajabu makubwa.
Na hii ndo sababu kila bank kwa sasa na miaka kama 2 iliopita inajiendesha kwa faida.
So sioni kama hiyo ni credit pekee yeye kuongoza wizara ya fedha, japo sisemi eti kwamba hawezi ongoza maana kwa Tanzania tumezoea kurahisisha mambo hivyo anaweza tu kuwa lakini haitamaanisha atakuwa the most qualified person for the role
Watanzania na WazanzibarHahahaha, Tanzania na Watanzania
KabisaAbaki huko huko NMB
HahahahaWatanzania na Wazanzibar
Lakini ufanisi au ubora wa mtu haupimwi kwa kufanya kazi katika mazingira magumu pekee, kwa maana wako watu ambao wako na resources zote lakini wanashindwa kufanya kazi ipasavyo.The best bank CEO ni Charles Kimei tu ambaye aliweza ku survive na kufanikiwa kwenye mazingira magumu