wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kutokana na tangazo lililotolewa na mamlaka juzi hapa kuhusu baadhi ya stations za radio hapa nchini kuhusu watangazaji wasio na vigezo kutangaza redioni naona sasa huenda aliekuwa mtangazaji kipindi cha magazeti Efm kunyambua na kunyumbulisha bwana Stive Migere aka Nyerere kwa sasa tangu jana hayupo yena nawasikia hapa bwana @handle Musa kipanya na Baby Mama wanakomaa wenyewe hadi kipindi kimepwaya