Huenda Steve Nyerere keshapigwa chini na Efm

Kutokana na tangazo lililotolewa na mamlaka juzi hapa kuhusu baadhi ya stations za radio hapa nchini kuhusu watangazaji wasio na vigezo kutangaza redioni naona sasa huenda aliekuwa mtangazaji kipindi cha magazeti Efm kunyambua na kunyumbulisha bwana Stive Migere aka Nyerere kwa sasa tangu jana hayupo yena nawasikia hapa bwana @handle Musa kipanya na Baby Mama wanakomaa wenyewe hadi kipindi kimepwaya
Yupo Chato/Burigi na Mzee wa matunguli. Baadaye wamekuwa wakitembelea kisiwa cha Saanane.
 
Kutokana na tangazo lililotolewa na mamlaka juzi hapa kuhusu baadhi ya stations za radio hapa nchini kuhusu watangazaji wasio na vigezo kutangaza redioni naona sasa huenda aliekuwa mtangazaji kipindi cha magazeti Efm kunyambua na kunyumbulisha bwana Stive Migere aka Nyerere kwa sasa tangu jana hayupo yena nawasikia hapa bwana @handle Musa kipanya na Baby Mama wanakomaa wenyewe hadi kipindi kimepwaya
Kipanya wa wapi?

Sent using [iPhone 11Pro Max
 
Back
Top Bottom