Huenda Steve Nyerere keshapigwa chini na Efm

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Kutokana na tangazo lililotolewa na mamlaka juzi hapa kuhusu baadhi ya stations za radio hapa nchini kuhusu watangazaji wasio na vigezo kutangaza redioni naona sasa huenda aliekuwa mtangazaji kipindi cha magazeti Efm kunyambua na kunyumbulisha bwana Stive Migere aka Nyerere kwa sasa tangu jana hayupo yena nawasikia hapa bwana @handle Musa kipanya na Baby Mama wanakomaa wenyewe hadi kipindi kimepwaya
 
I don't think kuwa radio presenter kunahitaji cheti...talent na skills alizonazo mtu inatosha
 
Yuko bize na mtalaka wa MTU Fulani mbezi, kaolewa kwa jimama lililoachana na mmewake mwaka juzi kule Bunju.
 
Asante sana kwa alienirekebishia title japo amekosea "steva"badala ya stive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…