Huenda Tanzania ikiwa na washiriki 4 wa michuano ya CAF baada ya Libya kutomaliza ligi yao

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
Kanuni za mashindano ya CAF zinaelekeza kwamba nchi 12 zenye ligi bora barani Afrika, hutoa timu 4 kushiriki mashindano ya CAF; mbili kwenye ligi ya mabingwa na mbili kwenye Kombe la Shirikisho.

Msimu huu (2019/20), Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 12...na ndiyo maana ilitoa timu 4. Simba, Yanga, Azam FC na KMC.

Lakini kutokana na kufanya vibaya kwa timu hizo, Tanzania ikashuka hadi nafasi ya 13, na Libya ambayo ilikuwa ya 18, ikapanda hadi nafasi ya 12 kutokana na timu yake ya Al Nasr kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho.

Hata hivyo, Libya haitokuwa na mshiriki katika mashindano ya CAF kwa msimu ujao wa 2020/21 kutokana na kushindwa kumaliza ligi yao.

Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kushindwa kumaliza ligi, hivyo CAF wameiadhibu kwa kuwaondoa kwenye mashindano.

Sasa endapo Libya hatokuwepo, huenda zile nafasi zao nne zikaangukia kwa anayefuata baada ya yao, ambao ni sisi Tanzania.

Japo CAF hawajatoa maelekezo juu ya atakayechukua nafasi ya Libya, lakini matumaini ya wachambuzi wengi ni kwamba nafasi hiyo itaangukia kwa Tanzania.

Hapa ndipo kwenye matumaini.

Kama itakuwa hivyo, basi timu za Tanzania zitakazoshiriki ni kama ifuatavyo.

Simba - Ligi ya Mabingwa
Yanga - Ligi ya Mabingwa
Namungo - Kombe la Shirikisho
Azam FC - Kombe la Shirikisho

Mungu ibariki +255[emoji1241][emoji1241].

Jamhuri ya wapambanaji.credit to zakazakazi

zakazakazi-20200814-0001.jpg
zakazakazi-20200814-0002.jpg
 
View attachment 1537028View attachment 1537029

Nina swali hapo ligi ya mabingwa na shirikisho ndo imefutwa kwa msimu huu au itaendelea walipo ishia
 
Na siku zote viti maalumu hua tunafika mbali kuliko Wale wateule
. Sasa utaachaje kufika mbali huku ukiwa umebebwa. Tafuta kwa jasho sio viti maalumu. Msimu uliopita tuliwabeba mkahifanya kiburi sahivi mnalilia viti maalumu mpk vya libya
 
Kanuni za mashindano ya CAF zinaelekeza kwamba nchi 12 zenye ligi bora barani Afrika, hutoa timu 4 kushiriki mashindano ya CAF; mbili kwenye ligi ya mabingwa na mbili kwenye Kombe la Shirikisho.

Msimu huu (2019/20), Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 12...na ndiyo maana ilitoa timu 4. Simba, Yanga, Azam FC na KMC.

Lakini kutokana na kufanya vibaya kwa timu hizo, Tanzania ikashuka hadi nafasi ya 13, na Libya ambayo ilikuwa ya 18, ikapanda hadi nafasi ya 12 kutokana na timu yake ya Al Nasr kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho.

Hata hivyo, Libya haitokuwa na mshiriki katika mashindano ya CAF kwa msimu ujao wa 2020/21 kutokana na kushindwa kumaliza ligi yao.

Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kushindwa kumaliza ligi, hivyo CAF wameiadhibu kwa kuwaondoa kwenye mashindano.

Sasa endapo Libya hatokuwepo, huenda zile nafasi zao nne zikaangukia kwa anayefuata baada ya yao, ambao ni sisi Tanzania.

Japo CAF hawajatoa maelekezo juu ya atakayechukua nafasi ya Libya, lakini matumaini ya wachambuzi wengi ni kwamba nafasi hiyo itaangukia kwa Tanzania.

Hapa ndipo kwenye matumaini.

Kama itakuwa hivyo, basi timu za Tanzania zitakazoshiriki ni kama ifuatavyo.

Simba - Ligi ya Mabingwa
Yanga - Ligi ya Mabingwa
Namungo - Kombe la Shirikisho
Azam FC - Kombe la Shirikisho

Mungu ibariki +255[emoji1241][emoji1241].

Jamhuri ya wapambanaji.credit to zakazakazi

View attachment 1537028View attachment 1537029
Nina swali kidogo kwenye hili
Libya ina civil war kwa miaka miwili mfululizo. Je ubora wakufika hapo wanautoa wapi mpaka kutuzidi sisi TZ.
 
Back
Top Bottom