Huenda Tundu Lissu akawajibishwa kwa kukiuka katiba, sheria na kanuni za uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa

Mimi niseme tu kwa ufupi kuwa wenye akili Timamu na wanaojitambua ni lazima wampigie kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani Mheshimiwa Freeman Mbowe.Mdomo wa Lissu ni wa Uropokaji na usio na breki wala mpaka.
Jabali la kuramba asali Toka kwa CHIZIMKAZI 🤣🤣🤣😅😅🤔🤔🚴🚴🚴

LISSU WILL FIX IT!! Mjiandae bkwa spana na maumivu Toka kwa LISSU.
 
Hamna mjinga wa namna hiyo kiongozi, wanajua kbs wakithubutu watagawana mbao na hamna chadema itabaki itakwenda kwenye historia yani, kama makaburi ya wengine yalipo!
gentleman,
wa akina nani wakijua wakati katiba sheria na kanuni za uchaguzi ndizo zinazofanya kazi?

ni muhimu kurilax,
ili taasisi ifanye kazi yake kulingana na utaratibu bila kumuonea haya wala aibu mkiukaji wa miiko ya uchaguzi
 
gentleman,
wa akina nani wakijua wakati katiba sheria na kanuni za uchaguzi ndizo zinazofanya kazi?

ni muhimu kurilax,
ili taasisi ifanye kazi yake kulingana na utaratibu bila kumuonea haya wala aibu mkiukaji wa miiko ya uchaguzi
Ndio wajaribu sasa... shauriana nao
 

CCM na timu mwamba Kazi mnayo
 
Ebu tuondolee manyuzi yenu ya CHADEMA! Hatuyataki mungejua! Mnajitekenya na kucheka wenyewe! Hakuna mtu anayafatilia
 
CCM na timu mwamba Kazi mnayo
gentleman,
masuala ya ndani ya chadema, vyama vingine vya siasa havihusiki,

ni muhimu sana kujiepusha kuchanganya mambo haya ndugu zangu wadua wa JF
 
Ebu tuondolee manyuzi yenu ya CHADEMA! Hatuyataki mungejua! Mnajitekenya na kucheka wenyewe! Hakuna mtu anayafatilia
relax bila kubabaika gentleaman, hususan ikiwa umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala,

hakuna haja ya kuonyesha mihemko na makasiriko yao kwa wadau wanapojadili mambo ya msingi ya kitaifa kama hili, right?
 
Ndio wafanye basi kama kweli miamba au ni mbao za vumbi tu! Unawaona hawana akili sio?
sio hisani wala mashindano kwenye kuchukua hatua gentleman,

bad will zinaondolewa kwa utaratibu na institution inasonga mbele bila tatizo lolote
 
Dan! Gentromani zile huenda kumbe bado unazo kibindoni😂
Your browser is not able to display this video.
 
Umekosa hoja umeanzisha uongo mwingine.
Unasahau kuwa LISSU ni mwanasheria mahiri sana hapa nchini na ulimwengu.
 
Dan! Gentromani zile huenda kumbe bado unazo kibindoni😂
View attachment 3202624
listening to the tones and looking to the body language of the crowed, some one may conclude that there is high intensity of hypocrisy,

there is completely no chemistry among youths, their noises, puppet and his mercenaries at all gentleman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…