Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dan! Gentromani zile huenda kumbe bado unazo kibindoni😂
View attachment 3202624
Hakuna wa kumtoa Lisu, huu ujinga peleka kwa chawa wenzio hapo DodomaBado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika.
Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo kumsaidia japo sijui kama inahiusika au itasaidia chochote, kumnasua kwenye mkwamo huo wa kimaadili, ambao unafanana kabisa na ule ambao umemkumba mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga.
Kama mdau wa siasa za Chadema, unadhani Tundu Lisu anaweza kuchomoka kwenye kibano au kikaango hiki cha kimaadili na kisheria na akavuka mchujo wa kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa?
Unadhani ni kitu gani hasa kinaweza kumfanya akawajibishwa na chama kimaadili kama alivyowajibishwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Lisu ndiye mwenyekiti.ni wazi ana karama ya fujo, mdomo na makelele![]()
Unaota ndoto. We kanengue tu huko Dodoma kwenye kusanyiko la wachawi na majizirelax gentleman,
ndio hivyo tena kibaraka anaishia njiani![]()
relax basi na uandike uzi kwa faida ya wadau,Lisu ndiye mwenyekiti.
Huu muda kwa nini usijadili kuhusu makamu mwenyekiti wa mbogamboga huko Dodoma.
Au mnasubiri jina liletwe mfukoni muanze kumpamba kwa kila aina ya unafiki na uchawa?

Wajumbe wa hiyo kamati ndio akina Mwalimu, Kigaira ambao wake zao ni wale wanawake wabunge wenye utata?Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika.
Hofu kubwa imetanda kwenye kambi yake na wanasheria wamejipanga vilivyo kumsaidia japo sijui kama inahiusika au itasaidia chochote, kumnasua kwenye mkwamo huo wa kimaadili, ambao unafanana kabisa na ule ambao umemkumba mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga.
Kama mdau wa siasa za Chadema, unadhani Tundu Lisu anaweza kuchomoka kwenye kibano au kikaango hiki cha kimaadili na kisheria na akavuka mchujo wa kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa?
Unadhani ni kitu gani hasa kinaweza kumfanya akawajibishwa na chama kimaadili kama alivyowajibishwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa shinyanga?🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Haki inatoka wapi hapo.muhimu ni maamuzi ya haki kwa mujibu wa katiba na sheria za chadema![]()
infact,Mpaka leo bado sijajua hii vita ya Tundu na Freeman mwisho wake ni nini asee 🤔🤔

Bila shaka wewe utakuwa Ntobi.kwahiyo kibaraka mpiga kelele na mdomo ndiyo ana haki ya kuvunja katiba sio?![]()
Dalali unahangaika sana.Bado haijabainika wala haijawekwa wazi kwamba ni sehemu gani ya katiba, sheria au kanuni za uchaguzi zilizokiukwa, lakini tayari mchakato wa kumuita na kumpeleka mbele ya kamati mahususi juu ya mambo haya umekamilika.