Huenda Tundu Lissu akawajibishwa kwa kukiuka katiba, sheria na kanuni za uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa

Hakuna wa kumtoa Lisu, huu ujinga peleka kwa chawa wenzio hapo Dodoma
 
ni wazi ana karama ya fujo, mdomo na makelele
Lisu ndiye mwenyekiti.
Huu muda kwa nini usijadili kuhusu makamu mwenyekiti wa mbogamboga huko Dodoma.
Au mnasubiri jina liletwe mfukoni muanze kumpamba kwa kila aina ya unafiki na uchawa?
 
Lisu ndiye mwenyekiti.
Huu muda kwa nini usijadili kuhusu makamu mwenyekiti wa mbogamboga huko Dodoma.
Au mnasubiri jina liletwe mfukoni muanze kumpamba kwa kila aina ya unafiki na uchawa?
relax basi na uandike uzi kwa faida ya wadau,

huna haja ya kubabaika na mengine ni muhimu kuzingatia hoja mezana
 
Wajumbe wa hiyo kamati ndio akina Mwalimu, Kigaira ambao wake zao ni wale wanawake wabunge wenye utata?
 
Wajumbe wa hiyo kamati ndio akina Mwalimu, Kigaira ambao wake zao ni wale wanawake wabunge wenye utata?
muhimu ni maamuzi ya haki kwa mujibu wa katiba na sheria za chadema
 
Mpaka leo bado sijajua hii vita ya Tundu na Freeman mwisho wake ni nini asee πŸ€”πŸ€”
 
Haki inatoka wapi hapo.

Mbowe hajawahi kutenda haki hata siku moja, Mzee ni mbinafsi na roho mbaya sana.
kwahiyo kibaraka mpiga kelele na mdomo ndiyo ana haki ya kuvunja katiba sio?
 
Mpaka leo bado sijajua hii vita ya Tundu na Freeman mwisho wake ni nini asee πŸ€”πŸ€”
infact,
haina mwisho mwema kwa yeyote atakaepata fursa ya kuiongoza chadema.
kuhujumiana kutakua ndiyo haswa kumetamalaki kama kisasi kwa matusi na vijembe wanavyorushiana.

hapatakua na amani ndani ya chadema vyoyote itakavyokua
 
Dalali unahangaika sana.
Uziri tunakujua kuwa ni mla rushwa mchukia watu waadilifu
 
Dalali unahangaika sana.
Uziri tunakujua kuwa ni mla rushwa mchukia watu waadilifu
gentleman,
nachukia zaidi vibaraka wa mabwenyenye wa magharibi wanaojaribu kupenyezza ukoloni mambo leo kwa manufaa yao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…