Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Hakuna mtu wa kawaida kuweza kupata tenda nzito nzito za majeshi bila mkono wa mwanasiasa mkuu katika nchi.
Haya ni maswali muhimu.
1. Anjela alipataje pataje ile tenda ya ununuzi wa sare za Polisi kirahisi rahisi hivyo?
2. Anjela alipataje ujasiri wa kuvuta mpunga mrefu vile na kupotea nao bila kuleta hizo sare tena kipindi cha utawala wa fimbo ya chuma cha moto?
3. Kwanini mara tu baada ya Magufuli kufa, ghafla Anjela akawa mwanasiasa huru na kuwa karibu mnoo Rais huku akizawadiwa vyeo kede kede?
4. Unakuwaje mtu mwenye tuhuma nzito mnoo za kifisadi halafu hapo hapo una kuwa msimamizi mkuu wa ofisi binafsi ya Rais?
5. Imekuwaje Anjela kwa sasa amekuwa mratibu wa karibu wa kampeni za Rais?