ranchoboy
Member
- Feb 22, 2022
- 46
- 49
Wakuu habari za muda huu. Natumaini wote ni wazima. Leo nimejaribu kupita Facebook ukurasa wa JamiiForums nikakutana na habari ya inayo lihusu taifa la BurkinaFaso kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini kwa baadhi ya makampuni ya kigeni na kuanza kuchimba wenyewe
"Tunajua jinsi ya kuchimba dhahabu yetu na sielewi kwa nini tunawaruhusu Makampuni ya Kimataifa kuja na kuchimba,"
Kiukweli hili jambo linatoa faraja na mwanga katika kumkomboa mwafrika kiuchumi. Lakini comment nilizo zikuta duh asilimia kubwa ya watu Wanadharau hatua hizi mpaka najiuliza kiuhalisia kabisa ni sahihi wazungu kuendelea kuwaita manyani huenda SI Kwa nje lakini kiakili waafrika wengi Bado ni manyani na hawakutakiwa kuingia kwenye kundi la homo sapiens hii race apana wapo tayari waishi maisha ya kimaskini kwa kuogopa kifo wako tayari mzungu aendelee kuwa juu kwa kigezo cha amani
Wako tayari kuiba na kuinvest magharibi ili Hali nchi zao Zina umaskini mkubwa Nafikiri hapa siitaji kutoa mifano mingi.
Angalia upande wa kilimo pia najiuliza maswali mengi sana Taifa la Israeli halizidi square meter 21000 na robo tatu ya nchi Yao ni jangwa, Afrika yenye udongo mzuri, mito ya kutosha inawesekanaje ipate misaada ya chakula kutoka Israeli.
Soma Pia: Burkina Faso inapanga kufuta baadhi ya leseni za uchimbaji madini
Kwa kweli inafikirisha sana hapa ninauhakika Africa hawakutakiwa kuitwa homo sapiens heri warudi kutawaliwa labda akili itakaa sawa.