Huenda wakati wowote nikawa milionea

Subiri uje kugundua unacheza na tapeli la Nigeria
 
Maisha haya nakusubiri zali hamna namna
 
Matapeli hao. Ndio story zao zinavyokuwaga hivyo.Usipoangalia hata hicho kidogo ulichokisevu kwa kazi ya kubeba box wanaweza wakakikwapua ukabaki na p*mb* zako mbili...
Usije sema sikukutaadharisha...
mkaribishe mitandaoni huyu ngapulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…