- Thread starter
- #61
mkuu ni mmmama wa makamo na picha zake zilikuwepo DM online na hata FBNakutabiria kuoa bibi kizee mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ni mmmama wa makamo na picha zake zilikuwepo DM online na hata FBNakutabiria kuoa bibi kizee mkuu
ninamatumani kwasabab gani kwa nini anijibu baada ya iyo miez yote? She's interested. Ila akikubali tukutane nakuhakishia mimi millionaireUnauhakika utaipata au ndo unajipa moyo?!
maisha siyo magumu ila sometimes boks linachosha ukibeba mda mref. Niko kwenye gemu toka 2009Maisha magumu sana,box nalo limekuchosha.
Rudi bongo ulime mchicha.
mkuu bahati kamwe haiji kwa kukaa tu ikushukie kama mana. Lazima ugharamike na uitafuteHaina tofauti na ndoto ya Alinacha aliyejikuta anapasua kioo alichotarajia kukiuza kwa fedha nyingi awe tajiri!
Uko bize unaota mchanaEbwana wanaJF Mzuka!
Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye alikuwa anadai Mali zaidi mahakaman kwenye talaka ya ndoa yao iliyodumu miaka mingi.
Kabla ya ndoa yao kuvunjika walikuwa wafanyabiashara matajari wakihodhi Mali nyingi. Mwanamama huyu hakupenda ndoa yao ivunjike ila kuna kasichana kamiaka 23 kalimpagawisha mume wake ambaye ana miaka zaid ya 50. Sasa mwanaume anadai utajiri wao ni 150 million wagawane nusu kwa nusu ila mwanamke kakataa anataka zaid na anadai huyo mwanaume anaficha Mali zingine mabara mengine utajiri wao ni zaidi ya 300 million pounds. Kesi bado ipo mahakaman halaf tait ni ya kukomoana na kulipizana kisasi.
Nilipoisoma hii story nilimuonea huyu mama huruma Kwanza ni mzuri kwa sura na umbo. Mume wake alivyompata huyo mchepuko akawa anamtukana 'she's fat and ugly'. Ilibidi niingie Facebook nikasech jina lake nikamuandikia msg za faraja na kumtia moyo waraka niliuandika kwa weled wa aina yake. Ila hakujib toka mwez wa 8 2015.
Jana ijumaa sikuamin macho yangu kwenye FB messenger Yani hadi mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi ya ajabu. Huyu mmama bana kanijibu maamaee. Where are you from? And what are you doing for a living in Denmark? I'd really like to know more about you!
Baada ya kusoma iyo msg nina imani na matarajio huenda naweza kuwa milionea dah mungu akiamua kukumulikia tochi. Hizi kazi za kubeba boksi nazo zinachosha. Nilimjibu iyo Jana ila hajajibu na hajaniadd kwenye friend request. Ikitokea tukutane maamaee hummer renjii na V8 zinanihusu. Sitabeba boksi tena na retire kabisa. Niko radhi hata kumpiga kimbola. Kesi bado ipo mahakaman.
Born a poor is not a sin but dying poor it's sin- Bill Gates
Get rich or die trying- 50%
Hilo ni pepo la utajiri kama lililomjaribu yesu. Unahitaji maombi mkuu, maana mali na fedha hutakufa navyo.,kumbuka kuna kiama mkuulicha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu
Ebwana wanaJF Mzuka!
Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye alikuwa anadai Mali zaidi mahakaman kwenye talaka ya ndoa yao iliyodumu miaka mingi.
Kabla ya ndoa yao kuvunjika walikuwa wafanyabiashara matajari wakihodhi Mali nyingi. Mwanamama huyu hakupenda ndoa yao ivunjike ila kuna kasichana kamiaka 23 kalimpagawisha mume wake ambaye ana miaka zaid ya 50. Sasa mwanaume anadai utajiri wao ni 150 million wagawane nusu kwa nusu ila mwanamke kakataa anataka zaid na anadai huyo mwanaume anaficha Mali zingine mabara mengine utajiri wao ni zaidi ya 300 million pounds. Kesi bado ipo mahakaman halaf tait ni ya kukomoana na kulipizana kisasi.
Nilipoisoma hii story nilimuonea huyu mama huruma Kwanza ni mzuri kwa sura na umbo. Mume wake alivyompata huyo mchepuko akawa anamtukana 'she's fat and ugly'. Ilibidi niingie Facebook nikasech jina lake nikamuandikia msg za faraja na kumtia moyo waraka niliuandika kwa weled wa aina yake. Ila hakujib toka mwez wa 8 2015.
Jana ijumaa sikuamin macho yangu kwenye FB messenger Yani hadi mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi ya ajabu. Huyu mmama bana kanijibu maamaee. Where are you from? And what are you doing for a living in Denmark? I'd really like to know more about you!
Baada ya kusoma iyo msg nina imani na matarajio huenda naweza kuwa milionea dah mungu akiamua kukumulikia tochi. Hizi kazi za kubeba boksi nazo zinachosha. Nilimjibu iyo Jana ila hajajibu na hajaniadd kwenye friend request. Ikitokea tukutane maamaee hummer renjii na V8 zinanihusu. Sitabeba boksi tena na retire kabisa. Niko radhi hata kumpiga kimbola. Kesi bado ipo mahakaman.
Born a poor is not a sin but dying poor it's sin- Bill Gates
Get rich or die trying- 50%
na ukizipata jiandae kuitwa jipu.Ebwana wanaJF Mzuka!

Mmmmmh Donald Trump hakukosea kuhusu watu weusi..ni sex exparts duuh.Kaka ukishampata we niambie nikutumie iyo kitu inaitwa mundende yaani wima masaa 3 ndo unapoa bibi kizee wa kizungu lazima atakupa utajiri tuu
Duh pole mkuu... Nimekaa ulaya na USA nayajua hayo maisha!! Mungu akusaidie upate zali aisee!![emoji4] [emoji4]mbona mimi nafanya kazi kwa bidii masaa 14 hadi 15 kwa siku na tena physical jobs. Great thinker umekosea
Hahah mkuu umenikumbusha Mzee Mkapa enzi zake akitumia kalamu kujiweka ktk rangi tofauti na majina tofauti!!! Daah waafrika ni shida!! Hao kina Ruttashobolwa usihangaike nao ni machoko wa tandalemkuu ndio mji wangu nilipo. Ila nina ID nyingi tu humu. Zingine huwez amin navyoheshimika kwenye jukwaa la siasa navyomwaga point za nguvu. Usije ukashangaa mzee mwana kijiji ni warumi ama Mtazamo ndiye jingalao au salary slip ndiye Lizabon Ama Pdidy mmamdenyi. Usimuamin mbongo kabisa akiwa nyuma ya keyboard
Hiyo juju itabidi urudi Tanga.licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu