uongo usio na dharau, wenye ucheshi, usio na makeke, (mara moja moja unatekeleza ahadi), then full uongo, then one day SUPRIZE la zawadi....mwaka mzima una-screw :mod:
MziziMkavu, sio kwa mademu tu! hata dini hizi zinazokuja sasa hivi with self proclaimed bishops, Nabii, Mtume and the like, wanatumia uongo kupata waumini. Ukisema ukweli haji mtu. Wadanganye kuwa nawaombea kila mmoja atanunua ndege, gari meli, train, watakuja. Waambie kuwa umepewa "Upako" na mungu wa kuponya etc, watakuja kwa wingi.