Huenda yakawa maneno ya ukweli haya

Huenda yakawa maneno ya ukweli haya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1557610_1438576536376724_1490514352_n.jpg
 
Nime kuelewa.... Tena n funzo toxha kwa wac o jua kutongoza
 
Kwa kweli. Ukiwaambia ukweli hawataki, ukiwadanganya wanakubali, wakijua, wanalalamika!!

Viumbe hawa, acha tu!
 

MziziMkavu, sio kwa mademu tu! hata dini hizi zinazokuja sasa hivi with self proclaimed bishops, Nabii, Mtume and the like, wanatumia uongo kupata waumini. Ukisema ukweli haji mtu. Wadanganye kuwa nawaombea kila mmoja atanunua ndege, gari meli, train, watakuja. Waambie kuwa umepewa "Upako" na mungu wa kuponya etc, watakuja kwa wingi.
 
Yani mimi hata sioni uvivu kuvunja uhusiano nikigundua nimedanganywa.
 
Natumia uongo kuingiza Fedha, siwezi kupoteza uongo wangu kwa ajili ya K.
 
ukiona unadanganya kupata dem una mapungufu wewe
 
Nikijua unanidanganya we ni adui yangu, sipendi uongo na sipendi kumuongopea mtu
 
Back
Top Bottom