Kichwani huna kitu wewe yaani ni kama andazi lilokandwa kwa kuwekewa amira nyingi huyo naye anaishi humu kwa kujipendekeza kwako as if unamlipa wewe ni nani usikosolewe kwa kuandika utoto?chilonge umeshathibitisha sasa 'Debe Tupu' ulilokuwa unahangaika nalo?
Hahahahaha, hivi Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti huwa wanalipwa ?Sasa ulitaka walipwe sh ngapi katika mauzo ya kila jezi?
Wanasajili
Wanalipa mishahara na posho za wachezaji
Wanagharamia gharama za malazi na usafiri na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya muhimu kwa kila binadamu/Mchezaji
Rubbish and Nonsensical.Kichwani huna kitu wewe yaani ni kama andazi lilokandwa kwa kuwekewa amira nyingi huyo naye anaishi humu kwa kujipendekeza kwako as if unamlipa wewe ni nani usikosolewe kwa kuandika utoto?
Wewe ndiyo huelewi,hata Rais wa tifuatifua hana mshaharaπππ₯π¦π πππππ‘π π¬ππ‘ππ
βMimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
βWafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level ya CEO hao ndio waajiriwa wa Yanga sisi ni viongozi ambao tumechaguliwa na Wanachama wa Yanga kuisimamia Yanga,β Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
Chanzo: Mitandaoni na Wasafi Media.
Kumbe ndiyo maana hata Jezi zao zinauzwa Tsh 40,000/= na Yanga SC inapata Tsh 1,800/= tu na zilizobaki ni za GSM.
Wakiondoka mnaanza bakuli tenaSasa ulitaka walipwe sh ngapi katika mauzo ya kila jezi?
Wanasajili
Wanalipa mishahara na posho za wachezaji
Wanagharamia gharama za malazi na usafiri na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya muhimu kwa kila binadamu/Mchezaji
Sema wewe tulisema wengine tutaoga matusi.Hoja ya Kitoto sana hii hasa kwa mtu unayefuatilia soka la Tanzania
Jamaa lijuaji sana hilo halafu Muhalifu puma mnooWewe ndiyo huelewi,hata Rais wa tifuatifua hana mshahara
Tatizo una Ubongo 'Uliosindikwa' na ndiyo uko 'Juha' hivyo.Kichwani huna kitu wewe yaani ni kama andazi lilokandwa kwa kuwekewa amira nyingi huyo naye anaishi humu kwa kujipendekeza kwako as if unamlipa wewe ni nani usikosolewe kwa kuandika utoto?
tulisema wengine tutaoga matusi ndiyo Kiswahili gani hiki? Nikisema kutwa hapa kuwa ukijua Unamchukia GENTAMYCINE basi jitahidi sana Kichwani ziwe zimetia kisawasawa huwa mnaona kama vile nawatukana au nawadhalilisha wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi sana tu.Sema wewe tulisema wengine tutaoga matusi.
Katika Lugha sanifu ya Kiswahili hatuna neno Muhalifu bali tuna neno sahihi la Mhalifu. Nikiwadharau msiwe mnachukia.Jamaa lijuaji sana hilo halafu Muhalifu puma mnoo
Usipokua mfanya biashara kuna vitu vingine inakua ngumu sana kuvi comprehend. Mleta uzi asamehewe bure tuSasa ulitaka walipwe sh ngapi katika mauzo ya kila jezi?
Wanasajili
Wanalipa mishahara na posho za wachezaji
Wanagharamia gharama za malazi na usafiri na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya muhimu kwa kila binadamu/Mchezaji
Usipokua mfanya biashara kuna vitu vingine inakua ngumu sana kuvi comprehend. Mleta uzi asamehewe bure tu
Not percee..ila anaweza akawa kaamua tu kutofikiri vizuri.Kwamba mleta uzi ni juha
Wewe ndo ungeweka hapa vifungu vya katiba vinavyoonesha Rais siyo mtumishi wa klabu,,badala ya kuwapa wengine homeworkTafuta katiba ya Yanga ndio utapata majibu
Mnataka kutafuniwa Hadi mdomoni sioo, acheni uvivuu katafuteni.Wewe ndo ungeweka hapa vifungu vya katiba vinavyoonesha Rais siyo mtumishi wa klabu,,badala ya kuwapa wengine homework
Kwahiyo yanga ni kilinge cha Rais na wenzake kupiga mpunga?! Hizi timu hizi?! Ni kwa vile washajua mashabiki ni manyumbu, wote tu pamoja Simba, mashabiki wote ni manyumbuπππ₯π¦π πππππ‘π π¬ππ‘ππ