Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

Sasa ulitaka walipwe sh ngapi katika mauzo ya kila jezi?
Wanasajili
Wanalipa mishahara na posho za wachezaji
Wanagharamia gharama za malazi na usafiri na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya muhimu kwa kila binadamu/Mchezaji
Hahahahaha, hivi Mwenyekiti na makamu Mwenyekiti huwa wanalipwa ?

Kumbe ndio maana mnamuitaga Popoma ,Hahahahaha
 
Kichwani huna kitu wewe yaani ni kama andazi lilokandwa kwa kuwekewa amira nyingi huyo naye anaishi humu kwa kujipendekeza kwako as if unamlipa wewe ni nani usikosolewe kwa kuandika utoto?
Rubbish and Nonsensical.
 
𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔​

“Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.

“Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level ya CEO hao ndio waajiriwa wa Yanga sisi ni viongozi ambao tumechaguliwa na Wanachama wa Yanga kuisimamia Yanga,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.

Chanzo: Mitandaoni na Wasafi Media.

Kumbe ndiyo maana hata Jezi zao zinauzwa Tsh 40,000/= na Yanga SC inapata Tsh 1,800/= tu na zilizobaki ni za GSM.
Wewe ndiyo huelewi,hata Rais wa tifuatifua hana mshahara
 
Sasa ulitaka walipwe sh ngapi katika mauzo ya kila jezi?
Wanasajili
Wanalipa mishahara na posho za wachezaji
Wanagharamia gharama za malazi na usafiri na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya muhimu kwa kila binadamu/Mchezaji
Wakiondoka mnaanza bakuli tena
 
Kichwani huna kitu wewe yaani ni kama andazi lilokandwa kwa kuwekewa amira nyingi huyo naye anaishi humu kwa kujipendekeza kwako as if unamlipa wewe ni nani usikosolewe kwa kuandika utoto?
Tatizo una Ubongo 'Uliosindikwa' na ndiyo uko 'Juha' hivyo.
 
Sema wewe tulisema wengine tutaoga matusi.
tulisema wengine tutaoga matusi ndiyo Kiswahili gani hiki? Nikisema kutwa hapa kuwa ukijua Unamchukia GENTAMYCINE basi jitahidi sana Kichwani ziwe zimetia kisawasawa huwa mnaona kama vile nawatukana au nawadhalilisha wakati kumbe Kiuhalisia huwa nakuwa sahihi sana tu.
 
Sasa ulitaka walipwe sh ngapi katika mauzo ya kila jezi?
Wanasajili
Wanalipa mishahara na posho za wachezaji
Wanagharamia gharama za malazi na usafiri na mambo mengine ambayo ni mahitaji ya muhimu kwa kila binadamu/Mchezaji
Usipokua mfanya biashara kuna vitu vingine inakua ngumu sana kuvi comprehend. Mleta uzi asamehewe bure tu
 
Mods mnaona huyu mjinga anavyotunga maneno ambayo Hersi hakuyasema, naomba alete ushahidi wa sauti akishindwa apigwe ban kama adhabu ya kudanganya jukwaa, me binafsi adhabu yangu ataipata huko pm kwake ananijua vizuri
 
𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔​

“Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.

“Wafanyakazi wa Yanga wanaanzia Level ya CEO hao ndio waajiriwa wa Yanga sisi ni viongozi ambao tumechaguliwa na Wanachama wa Yanga kuisimamia Yanga,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.

Chanzo: Mitandaoni na Wasafi Media.

Kumbe ndiyo maana hata Jezi zao zinauzwa Tsh 40,000/= na Yanga SC inapata Tsh 1,800/= tu na zilizobaki ni za GSM.
Kwahiyo yanga ni kilinge cha Rais na wenzake kupiga mpunga?! Hizi timu hizi?! Ni kwa vile washajua mashabiki ni manyumbu, wote tu pamoja Simba, mashabiki wote ni manyumbu
 
Back
Top Bottom