THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 743
- 915
Nitaanzia hapo DID Investment iliyopo njia panda ya Himo hapo. Mbege unaiandalia pande zipi Mkuu
Inatufundisha kwamba wachaga tunajulikana ikifika Desemba ni jadi kwenda Moshi. So mtu usipoenda watu wanashangaaHadithi yako inatufundisha nini?