HUGE War Rages Under the Radar for the CIA-run Servers

Hahah huyu jamaa hua ni expert kwny hio field.
Hivi mnajua concept ya conspiracy theories nani wameleta na wameleta kwa makusudi gani kweli.Wake up fellas,wenzenu wameleta ili kuficha siri zao na ili msijue ubaya wanaowafanyia,na ninyi bila kujua mmelibeba kama lilivyo.Fungukeni,acheni ujenga.Sasa kuna conspiracy gani hapo,basi lolote usilolijua ni conspiracy,ovyoo.
 
Hivi mnajua concept ya conspiracy theories nani wameleta na wameleta kwa makusudi gani kweli.Wake up fellas,wenzenu wameleta ili kuficha siri zao na ili msijue ubaya wanaowafanyia,na ninyi bila kujua mmelibeba kama lilivyo.Fungukeni,acheni ujenga.
Kwa hio wewe ndiyo unaweza kufichua siri zao sio?,hahah
 
Hii nayo conspiracy nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…