Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #21
Hivi mnajua concept ya conspiracy theories nani wameleta na wameleta kwa makusudi gani kweli.Wake up fellas,wenzenu wameleta ili kuficha siri zao na ili msijue ubaya wanaowafanyia,na ninyi bila kujua mmelibeba kama lilivyo.Fungukeni,acheni ujenga.Sasa kuna conspiracy gani hapo,basi lolote usilolijua ni conspiracy,ovyoo.Hahah huyu jamaa hua ni expert kwny hio field.