Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Mkuu Chasa. Ila nadhan si Africa tu hata huko nje, mtu anavyosoma zaidi ndivyo anavyokuwa mwoga wa risks, ndio maana wasomi wengi ni waajiriwa. Yeye anachoangalia zaidi ni job security ambayo itampa fixed income.Ni kweli mkuu na si tu kuwa Mjinga bali juwa muoga.
The more mtu anacyo soma ndo the more anavyo kuwa na kiwango cha juu cha Uoga.
Angalia wale Ma profu wengibe wana Phd za Uchumi wengine za Biadhara. ila ni waoga wa wao kuanzisha biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hata Wazungu wapo waoga tu. Swala la Uoga lipo hata Kwa wachina ika tunacho zidiana ni kiwango.Ni kweli Mkuu Chasa. Ila nadhan si Africa tu hata huko nje, mtu anavyosoma zaidi ndivyo anavyokuwa mwoga wa risks, ndio maana wasomi wengi ni waajiriwa. Yeye anachoangalia zaidi ni job security ambayo itampa fixed income.
Juzi nilikuwa naongea na mtu mmoja ambaye ni lecturer wa mambo ya biashara, anatolea mifano kwa watu wengine ilihali ilipaswa awe yeye, awe anajitolea mfano halisi kutoka kwake.
Inasikitisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, wasomi mna kazi ya ziada sana [emoji16] [emoji16] [emoji16]Naona unachanganya mambo hapa......
usilinganishe mchoma mahindi na kina Mengi au Bakhresa au MO.
Biashara nyingi zinakufa sababu wamiliki wa hizo biashara hawajui hata biashara hizo zinaendeshwaje, hao uliowataja wengi wao wanajua hiyo biashara yaendeshwaje na faida yapatikana vipi.... usidanganye watu waache kuwa madaktari ili waende wakauze kuku......
Ww una maono gani na elimu?????ww hukwenda shule usishawishi watu wasiende shule..ww uza mahindi na uji acha wengine wabukueHuwa nakuelewa sana mkuu, big up kwa kuwa miongoni mwa watanzania wenye fikra adimu niliowahi kukutana nao.
I salute you mkuu.
Watu hawajui hata malengo makuu ya elimu ni nini! Na ndio maana wasomi wetu wengi ukiwasikiliza maono yao juu ya mambo mbali mbali unabaki kusikitika tu.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Sidhan kama kuna mtu anamzuia mwenzie kusoma elimu ya juu. Binafsi Natambua umuhimu wa elimu ya juu, ina mchango kwa hapa nilipofika.Ww una maono gani na elimu?????ww hukwenda shule usishawishi watu wasiende shule..ww uza mahindi na uji acha wengine wabukue
Nafikiri kuna upotoshwaji mkubwa unataka kufanywa kwa vijana wanaoapply vyuo..msisikilize hizi hojo za upupu kila thread elimu this that
Soma soma soma achana na wafiga kuku hawa
Real life education inafundishwa na nani?Sidhan kama kuna mtu anamzuia mwenzie kusoma elimu ya juu. Binafsi Natambua umuhimu wa elimu ya juu, ina mchango kwa hapa nilipofika.
Lakini tuongee ukweli elimu inatudanganya sana na kujiona tayari tumefanikiwa tukiwa bado vyuoni. Mbaya zaidi tunafundishwa na watu wanaotegemea mishahara.
Tukifika mtaani mambo ni tofauti pale tunapojikuta kazi hamna, biashara haziendi.
Nawashauri wanaoenda vyuoni, wasome real life education.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uoga na aibu ndo kikwazo lakini mbele ya SHIDA hakuna woga wala aibu. Tutafika tu, maana yameonekana tayari kwa walimu kesho kwa madaktari. Mbona woga utaisha tuReal life education inafundishwa na nani?
Kama Chasha anavyo sema Uoga na Aibu ndo kikwazo hayo mengine ni visingizio tu.
Shida ni Uoga na aibu ya watu. usituone humu watu tu waoga vibaya mno na aibu za kufa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uoga na aibu ndo kikwazo lakini mbele ya SHIDA hakuna cha woga wala aibu, tutafika tu amini hivyo.Real life education inafundishwa na nani?
Kama Chasha anavyo sema Uoga na Aibu ndo kikwazo hayo mengine ni visingizio tu.
Shida ni Uoga na aibu ya watu. usituone humu watu tu waoga vibaya mno na aibu za kufa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umeandika uhalisia mtupu ambao ndio tunajionea kwenye maisha yetu ya kila siku....Asante mkuu....
Ila kuna tatizo katika mifumo ya elimu ya nchi za Africa kwa sababu uzoefu unaonyesha kuwa kwa kadri anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kuwa mjinga.....
Kwa kifupi ni kuwa mifumo ya elimu ya nchi hizi za ki Africa zinamjenga mtu kuwa na mentality ya kitumwa na uoga wa hali ya juu.....na kibaya zaidi huwa wana excuses kibao kuhalalisha huo utumwa na uoga wao......
Pia mifumo ya elimu inamtoa moja kwa moja mtu kwenye matumizi ya akili zake........
Mkuu hata wana naijeria walianza kama sisi zamani wasomi wao walikuwa wanachagua kazi hivi hivi, lakini Leo hii kukutana na mechanical engineering graduate anauza maji kwenye viunga vya Lagos ni kawaida sana.Uoga na aibu ndo kikwazo lakini mbele ya SHIDA hakuna cha woga wala aibu, tutafika tu amini hivyo.
Yameonekana kuwa walimu sio chaguo tena, siku zijazo tutasikia hata madaktari sio muhimu saana.
Mi naamini tutafika aibu zitaisha. Rafiki yangu mmoja aligraduate IT safi akaenda kuwa machinga, yetu macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Tangazo la kazi aliwahi kutoa DANGOTE unaambiwa application nyingi zilikuwa ni za watu wa Phd.Mkuu hata wana naijeria walianza kama sisi zamani wasomi wao walikuwa wanachagua kazi hivi hivi, lakini Leo hii kukutana na mechanical engineering graduate anauza maji kwenye viunga vya Lagos ni kawaida sana.
Tutafika tu huko na sisi kqma unavyosema.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Kuna Tangazo la kazi aliwahi kutoa DANGOTE unaambiwa application nyingi zilikuwa ni za watu wa Phd.
Mkuu ni swala la muda mbona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliza uambiwe huyo bakhressa alianzia wapi. Hayo mahindi is a first step to higher step. Kama huwezi kumenage biashara ya mahindi into lucrativeness, hutaweza kuendesha big businesses man. Wabongo huwa tunashindwa hapo, tunataka kuanza na vitu vikubwa wakati hatuna huo uwezo.Naona unachanganya mambo hapa......
usilinganishe mchoma mahindi na kina Mengi au Bakhresa au MO.
Biashara nyingi zinakufa sababu wamiliki wa hizo biashara hawajui hata biashara hizo zinaendeshwaje, hao uliowataja wengi wao wanajua hiyo biashara yaendeshwaje na faida yapatikana vipi.... usidanganye watu waache kuwa madaktari ili waende wakauze kuku......
Dogo umelishwa mahindi na uji umeanza kusapoti upupu etiHili nakubaliana na wewe kabisa
Elimu ya Tanzania ni hovyo na ndio maana wanashindanisha mashule
Mtu anajua tu kufanya mitihani
Ukimuweka kwenye uhalisia hawezi chochote kile
Kama una biashara na ukahitahi mtu wa matketing
Tangaza nafasi afu watao jitokeza waulize wajielezee watakusaidia vipi kukua kibiashara ( hutapata mtu)
Accountants wengi hawawezi tengeneza hata trial balance au hawawezi tumia accounting packages
Mi huwa nawakubali sana waliosoma Veta
Kuna jamaa fulani alisuka nondo za ghorofa nikamnyoshea mikono.
Alikuja graduate wa masters hata hakuelewa nini kilikuwa kimefanyika
Na ndio maana mimi siwezi lipia mtu akasome chuo
Nampa chaguzi 2 tu
Aende Veta au akatafute mwingine atakae mlipia
Ukibisha na wapumbavu na wewe utaonekana mpumbavu. achana nao haoUliza uambiwe huyo bakhressa alianzia wapi. Hayo mahindi is a first step to higher step. Kama huwezi kumenage biashara ya mahindi into lucrativeness, hutaweza kuendesha big businesses man. Wabongo huwa tunashindwa hapo, tunataka kuanza na vitu vikubwa wakati hatuna huo uwezo.
Sent from my CUBOT CHEETAH 2 using JamiiForums mobile app