Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
1. Kwanza hakikisha unacheza sana na mwanaye yaani mwanaye akupende.

2. Usipende kutoka nae viwanja hawapendi maana huwa wanawawaza watoto wao especially kama ana mtoto mdogo.

3. Vi-date vyenu fanyieni "indoor" yaani aje kwako au uende kwake.

4. Hakikisha zawadi kwa sana, za mwanae na zake. Yaani pipi, ice cream, pringles, vi toy na pizza vya kutosha.

Na yeye hakikisha zawadi zake ni mtungi wa gas, mchele, nyama za kuku ngombe samaki n.k. Atakuthamini sana ukimpelekea hivi kuliko kupeleka zawadi za sjui nguo, nguo za ndani, saa na maua. Atakuona bwege tu.

5. Hakikisha unaitandika kwelikweli ile kitu maana wanapenda sana.

Hayo ni machache sana niliyokuwa namfanyia singo mama mmoja zamani ila nilimuacha maana aliniganda sana kiasi kwamba nilikuwa sihemi.

Nimemkumbuka leo maana toka juzi ananitumia meseji kibao za mapenzi. Namwambia wee mama una balaa? Ananiambia sio kidogo.
Na tumeachana mwaka wa pili huu. Sasa sielewi niitandike tena ama vipi.

Nawasilisha.
 
Sawa expert wa single Maza.... we got u!!!
 
Si tulishakubaliana masingo mama hawafai, sasa hizo porojo zote za nini.

Sema umenikumbusha hizo pringles ziliwahi kunirahisishia maisha one time [emoji39][emoji39]
Hahahahah...kwambaaaaa
 
Huenda yeye alipenda hayo mazagazaga kutokana na njaa yake ila wengine wanapenda hizo zawadi ulizoziwekea x
Wanapenda kweli hvo vtu mkuu...sasa wee huna budi kumchanganya navyo
 
Hongera Sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…