Huhitaji nguvu nyingi kumchanganya 'Single mama', fanya yafuatayo


Unachotafuta kwake nini
 
Mkuu inaoneka unapenda kulelewa na single mother.
 
Miaka yote hiyo bada haja pata mume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kifo cha magufuli hizi nyuzi zimerudi kwa kasi
 
Baada ya kifo cha magufuli hizi nyuzi zimerudi kwa kasi
Jana nimemsikia Dr, tabibu, Mwl. Isack Ndodi radio Uhuru FM eti anatibu corona kwa siku tatu tu....pia anauza kitabu chake kwa bei ya ofa sh. 20000 badala ya 50,000! Enzi za JPM hawa watu walikuwa wapi au ni dalili ya pesa za Bure kurejea mtani!
 
Ati nini maoni yako mahondaw
 
Hapo kwenye namba 1, 4, je kama mtoto yupo mbali na mama yake je utacheza nae vip na Baba mtoto anatoa huduma zote Kwa mwanae je huoni hizo mbinu zitafeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…