Huhuuuu..Its my birthday [emoji512]

Huhuuuu..Its my birthday [emoji512]

Happy Birthday Mkuu. Ujaaliwe maisha marefu na yenye furaha duniani. Kumbuka kulitimizo kusudio la weww kuendelea kuwa hai.

Ubarikiwe.

Ohoooo its my compact huyo!(dada mama)you know what I mean eee...[emoji9]

Ooh yeah Mungu wetu ni mwaminifu sana lazima nilitimize nikiwa hai mkuu
 
Umezaliwa siku moja na baby wangu.

Ndo tunaandaa vinywaji na makulaji hapa. Au ndo wewe nini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf kubwa sana ingawa app yake inaweza ishi ndani ya simu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ohoooo its my compact huyo!(dada mama)you know what I mean eee...[emoji9]

Ooh yeah Mungu wetu ni mwaminifu sana lazima nilitimize nikiwa hai mkuu
Ooh Yes, Naelewa.

Hebu nikaribishe keki bhanah!. Au una Swaumu?
 
Ooh Yes, Naelewa.

Hebu nikaribishe keki bhanah!. Au una Swaumu?

Wow...
Mimi ni wa jpili @Compact.karibu sana kwenye keki mkuu.pia na vyakula vya kiasili vipo.kama maziwa yasiyochemshwa shart yawekwe kwenye kibuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wow...
Mimi ni wa jpili @Compact.karibu sana kwenye keki mkuu.pia na vyakula vya kiasili vipo.kama maziwa yasiyochemshwa shart yawekwe kwenye kibuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, hiyo ndo chakula yetu sisi Wamasai. And unasikia kabisa ile ladha halisi ya maziwa.

Hebu nikumbushe zamani. Hahaha
 
Happy birthday B. Hahahaha. Siunajua jirani yako navyokupenda eeeh. Fanya kunitumia location ya tukio kabla sijapitwa na keki.

dcb47890203d0f0ee9180362a589f76d.jpg

Shunie Sakayo mjiandae kwa kwaito leo .
 
Happy birthday chakorii nakuombea miaka tele yenye amani Furaha katkita nchi uliyopewa na bwana Mungu
 
Woooooow...!!!!!! Hongera sana my lovely one Mungu akulinde na mabaya yote ya dunia , akupe umri mrefu wenye heri na fanaka tele.
99yrs inakutosha sana my choice Mshike Mungu wako na ishi na watu vizuri.

NIPO NAFANYA MAZOEZI YA KWAITO HAPA NA KUKUBAMBIA CHURA HAPA..

Sijapenda lkn ulichofanya nadhani unajua kwann maana nilikua nimeanda something special to you..
BTW
HAAAAAAAAPY BIRTHDAY Chakorii Love u sana.
[HASHTAG]#HBD[/HASHTAG] JQ
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG]
 
Hahahaha, hiyo ndo chakula yetu sisi Wamasai. And unasikia kabisa ile ladha halisi ya maziwa.

Hebu nikumbushe zamani. Hahaha

Nimekunywa sana hayo maziwa Compact akati nachungu mbuzi alooo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila sasa hivi ukiniambia ninywe siwez
 
Back
Top Bottom