Happy Birthday Mkuu. Ujaaliwe maisha marefu na yenye furaha duniani. Kumbuka kulitimizo kusudio la weww kuendelea kuwa hai.
Ubarikiwe.
Happy birthday chakoriii. May you live long and blow a lot of candlesView attachment 518886
Ooh Yes, Naelewa.Ohoooo its my compact huyo!(dada mama)you know what I mean eee...[emoji9]
Ooh yeah Mungu wetu ni mwaminifu sana lazima nilitimize nikiwa hai mkuu
Ooh Yes, Naelewa.
Hebu nikaribishe keki bhanah!. Au una Swaumu?
Hahahaha, hiyo ndo chakula yetu sisi Wamasai. And unasikia kabisa ile ladha halisi ya maziwa.Wow...
Mimi ni wa jpili @Compact.karibu sana kwenye keki mkuu.pia na vyakula vya kiasili vipo.kama maziwa yasiyochemshwa shart yawekwe kwenye kibuyu[emoji23][emoji23][emoji23]