Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Ndio tatizo lenu binadamu, mnapanga mpaka budget ya kuumwa kwani tiba asili hakuna???Haha, kuna mambo physical appearance haiepukiki, Ukiumwa utatibiwa online?
Waseme tu chanjo ni lazima wasipake mafuta watu kwa mgongo ya chupa, stupid governmentSerikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21,2021 Watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.
Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni , Bandarini n.k
Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26,2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya Watu wengi kwa siku 10 mfululizo.
"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"
My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Ndo hapo sasa, kwa wale tuliopiga nyungu vyeti vinatolewa wapi nataka nikalipe kodi TRA....Ndio tatizo lenu binadamu, mnapanga mpaka budget ya kuumwa kwani tiba asili hakuna???
Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni, Bandarini n.kJe wamebainisha ni huduma zipi?
Je takwimu zao inaonyesha ni asilimia ngapi ya wananchi wamepata chanjo?
Nyungu haijathibitishwa kitaalamu kama ni kingaNdo hapo sasa, kwa wale tuliopiga nyungu vyeti vinatolewa wapi nataka nikalipe kodi TRA....
Hawa watu mbona wanajichanganya. Unasema chanjo siyo lazima wakati huohuo unasema kama unahitaji huduma katika ofisi za serikali unapaswa kuchanja!"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"
My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Wacha ujinga,Mbona kila kitu kipo peupe.....tatizo lenu waabudu shetani mnajiona nyinyi ndo wenye siri za mambo yote ya dunia. Kwa taarifa yako hakuna jambo litakalofanyika duniani bila Mungu kuwapa taarifa wateule wake, kaeni mkijua hilo.....
Hizo si umezitaja majina yake? mbona hujaorodhesha kooona.....Wacha ujinga,
Umechanjwa polio, TB, tetanu, BCG alafu unaleta ujinga hapa!!!
hizo chanjo zilikua tofauti na hii, hii iko kisanii mnoWacha ujinga,
Umechanjwa polio, TB, tetanu, BCG alafu unaleta ujinga hapa!!!
Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Chapa ya Mpinga Kristo- 666, haiwezi kuanza kufanya kazi wakati WATAKATIFU wakiwa bado wapo duniani. Watakatifu wakisha nyakuliwa ndipo waliosalia wataanza kupata chapa 666 rasmi. Kwa sasa Shetani anatesti tu mitambo. Kazi yenyewe bado.Vipi watoa huduma huko maofisini ambao hawajachanjwa? beberu anawashurutisha mlete namba ya mpinga kristo ili mamlaka ya ibilisi ianze rasmi, siyo?
Umeenda chaka ndugu mwinjilisti, dhiki kuu itaanza kabla ya unyakuo.....kama unataka maandiko utapata bila shida yoyote.Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Chapa ya Mpinga Kristo- 666, haiwezi kuanza kufanya kazi wakati WATAKATIFU wakiwa bado duniani. Watakatufu wakisha nyakuliwa ndipo waliosalia wataanza kupata chapa 666 rasmi. Kwa sasa Shetani anatesti tu mitambo. Kazi yenyewe bado.
MUHIMU: Endapo bado hujatubu dhambi zako na kuziacha na kumpokea/kumwami Yesu Kristo awe BWANA NA MWOKOZI wa maisha yako, wakati wa kufanya hivyo ni sasa, kabla hazijakuja siku hizo ambazo utaanza kujuta na kusema " laiti ninge......."
Warumi 10:9-10
Matendo ya Mitume 4:12
Zaburi 16:3
Hebu leta maandiko mkuu make ninachokijua ndicho kimeelezewa na ndugu mwinjilisti hapo juuUmeenda chaka ndugu mwinjilisti, dhiki kuu itaanza kabla ya unyakuo.....kama unataka maandiko utapata bila shida yoyote.
Mambo mema huwa yanaigwaHawa watu mbona wanajichanganya. Unasema chanjo siyo lazima wakati huohuo unasema kama unahitaji huduma katika ofisi za serikali unapaswa kuchanja!
Na wewe unayeshauri tuwaige Wakenya..... kumbuka msemo wa Kiswahili..... " Usiige kunya kwa tembo, usije ukapsuka......."
Hizi dini za wazungu zimepotosha sana watuMuwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Chapa ya Mpinga Kristo- 666, haiwezi kuanza kufanya kazi wakati WATAKATIFU wakiwa bado wapo duniani. Watakatifu wakisha nyakuliwa ndipo waliosalia wataanza kupata chapa 666 rasmi. Kwa sasa Shetani anatesti tu mitambo. Kazi yenyewe bado.
MUHIMU: Endapo bado hujatubu dhambi zako na kuziacha na kumpokea/kumwami Yesu Kristo awe BWANA NA MWOKOZI wa maisha yako, wakati wa kufanya hivyo ni sasa, kabla hazijakuja siku hizo ambazo utaanza kujuta na kusema " laiti ninge......."
Warumi 10:9-10
Matendo ya Mitume 4:12
Zaburi 16:3
Kisanii kivipi? Mlisema wataochanja watakuwa mazombie, Mimi nimechanja since May na ninadunda tuhizo chanjo zilikua tofauti na hii, hii iko kisanii mno
Hebu leta maandiko mkuu make ninachokijua ndicho kimeelezewa na ndugu mwinjilisti hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
tunasubiri ugeuke zombi, usipogeuka tutaenda kuchanjaKisanii kivipi? Mlisema wataochanja watakuwa mazombie, Mimi nimechanja since May na ninadunda tu
Ni swala la muda tu.....subiri nyakati zitimie.Kisanii kivipi? Mlisema wataochanja watakuwa mazombie, Mimi nimechanja since May na ninadunda tu
Huu ni upuuzi Kwa sababu hii chanjo haikuzuii kupata maambukizo.sasa chanjo ni ya nini wakati haikuzuii kupata maambukizo.Serikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21, 2021 watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.
Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni, Bandarini n.k
Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26, 2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi kwa siku 10 mfululizo.
"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"
My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA