Hujachanjwa, hupewi huduma

Hujachanjwa, hupewi huduma

Serikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21,2021 Watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.

Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni , Bandarini n.k

Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26,2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya Watu wengi kwa siku 10 mfululizo.

"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"

My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Waseme tu chanjo ni lazima wasipake mafuta watu kwa mgongo ya chupa, stupid government
 
Je wamebainisha ni huduma zipi?
Je takwimu zao inaonyesha ni asilimia ngapi ya wananchi wamepata chanjo?
Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni, Bandarini n.k

Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26, 2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi kwa siku 10 mfululizo.
 
"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"

My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Hawa watu mbona wanajichanganya. Unasema chanjo siyo lazima wakati huohuo unasema kama unahitaji huduma katika ofisi za serikali unapaswa kuchanja!

Na wewe unayeshauri tuwaige Wakenya..... kumbuka msemo wa Kiswahili..... " Usiige kunya kwa tembo, usije ukapsuka......."
 
Mbona kila kitu kipo peupe.....tatizo lenu waabudu shetani mnajiona nyinyi ndo wenye siri za mambo yote ya dunia. Kwa taarifa yako hakuna jambo litakalofanyika duniani bila Mungu kuwapa taarifa wateule wake, kaeni mkijua hilo.....
Wacha ujinga,
Umechanjwa polio, TB, tetanu, BCG alafu unaleta ujinga hapa!!!
 
Vipi watoa huduma huko maofisini ambao hawajachanjwa? beberu anawashurutisha mlete namba ya mpinga kristo ili mamlaka ya ibilisi ianze rasmi, siyo?
Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Chapa ya Mpinga Kristo- 666, haiwezi kuanza kufanya kazi wakati WATAKATIFU wakiwa bado wapo duniani. Watakatifu wakisha nyakuliwa ndipo waliosalia wataanza kupata chapa 666 rasmi. Kwa sasa Shetani anatesti tu mitambo. Kazi yenyewe bado.

MUHIMU: Endapo bado hujatubu dhambi zako na kuziacha na kumpokea/kumwami Yesu Kristo awe BWANA NA MWOKOZI wa maisha yako, wakati wa kufanya hivyo ni sasa, kabla hazijakuja siku hizo ambazo utaanza kujuta na kusema " laiti ninge......."

Warumi 10:9-10
Matendo ya Mitume 4:12
Zaburi 16:3
 
Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Chapa ya Mpinga Kristo- 666, haiwezi kuanza kufanya kazi wakati WATAKATIFU wakiwa bado duniani. Watakatufu wakisha nyakuliwa ndipo waliosalia wataanza kupata chapa 666 rasmi. Kwa sasa Shetani anatesti tu mitambo. Kazi yenyewe bado.

MUHIMU: Endapo bado hujatubu dhambi zako na kuziacha na kumpokea/kumwami Yesu Kristo awe BWANA NA MWOKOZI wa maisha yako, wakati wa kufanya hivyo ni sasa, kabla hazijakuja siku hizo ambazo utaanza kujuta na kusema " laiti ninge......."

Warumi 10:9-10
Matendo ya Mitume 4:12
Zaburi 16:3
Umeenda chaka ndugu mwinjilisti, dhiki kuu itaanza kabla ya unyakuo.....kama unataka maandiko utapata bila shida yoyote.
 
Hawa watu mbona wanajichanganya. Unasema chanjo siyo lazima wakati huohuo unasema kama unahitaji huduma katika ofisi za serikali unapaswa kuchanja!

Na wewe unayeshauri tuwaige Wakenya..... kumbuka msemo wa Kiswahili..... " Usiige kunya kwa tembo, usije ukapsuka......."
Mambo mema huwa yanaigwa
 
Muwe mnasoma maandiko na kuyaelewa. Chapa ya Mpinga Kristo- 666, haiwezi kuanza kufanya kazi wakati WATAKATIFU wakiwa bado wapo duniani. Watakatifu wakisha nyakuliwa ndipo waliosalia wataanza kupata chapa 666 rasmi. Kwa sasa Shetani anatesti tu mitambo. Kazi yenyewe bado.

MUHIMU: Endapo bado hujatubu dhambi zako na kuziacha na kumpokea/kumwami Yesu Kristo awe BWANA NA MWOKOZI wa maisha yako, wakati wa kufanya hivyo ni sasa, kabla hazijakuja siku hizo ambazo utaanza kujuta na kusema " laiti ninge......."

Warumi 10:9-10
Matendo ya Mitume 4:12
Zaburi 16:3
Hizi dini za wazungu zimepotosha sana watu
 
Hebu leta maandiko mkuu make ninachokijua ndicho kimeelezewa na ndugu mwinjilisti hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, naweka ufafanuzi kama ifuatavyo;

Soma ufunuo sura ya 6 yote na sura ya 7. Pale ufunuo 7:2-3 utaona Malaika akiwazuia wale Malaika waliopewa kuidhuru nchi, wasiidhuru nchi wala bahari, wala miti hadi watakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu juu ya vipaji vya nyuso zao. Baada ya zoezi hilo la kutiwa muhuri ndipo unyakuo ulipofanyika. Ukisoma ufunuo 7:9, watu kutoka kila taifa, kabila, jamaa na lugha wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi, na mbele za Mwanakondoo, wamevikwa mavazi meupe, wana matawi ya mitende mikononi mwao.......

Sasa ukisoma ufunuo 6:9, katika kipindi cha dhiki kuu kabla ya unyakuo ulioelezwa kwenye ufunuo 7:9 kuna wale watakaouawa kwa ajili ya neno la Mungu na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao. Kwa hiyo hii inadhihirisha kwamba kutakuwa na kipindi cha mateso na kuuawa kwa watakatifu kabla ya unyakuo....ubarikiwe sana.
 
Serikali nchini Kenya imesema kuanzia December 21, 2021 watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.

Baadhi ya ofisi ambazo bila cheti cha chanjo Mtu hatopata huduma ni Mamlaka ya Mapato (KRA), Uhamiaji. Hospitali, Shuleni na Vyuoni, Bandarini n.k

Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe amesema kuelekea kuanza kwa utaratibu huo kuanzia November 26, 2021 kutakuwa na ugawaji chanjo kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi kwa siku 10 mfululizo.

"Hakuna aliyesema chanjo ni lazima lakini kama unahitaji huduma kwenye Ofisi za Serikali unapaswa kuchanja"

My take: NAISHAURI SERIKALI YA AWAMU YA 6 IWAIGE WAKENYA KATIKA HILI, ILI WATU WENGI ZAIDI WAJITOKEZE KUCHANJA
Huu ni upuuzi Kwa sababu hii chanjo haikuzuii kupata maambukizo.sasa chanjo ni ya nini wakati haikuzuii kupata maambukizo.
 
Back
Top Bottom