Hujafa haujaumbika - God's Great

hao madogo dah wamenikanyaga mtimani ile mbaya hawawezi kutenganishwa hawa?

kaka hawa hauwezekai kutenganishwa, unaambiwa hakuna atakaebaki endapo ikijaribiwa hiyo.

Dah, glory be to God.
 
Ee Mungu mapenzi yako yatimie kuhusu vijana hawa.

Nimempa nini Mungu kuwa nilivyo. Ni mara ngapi nimelalamika nikitaka makubwa zaidi bila kufikiria nilikotoa, niliko sasa na Mungu ameshanipa mangapi lakini hata kusema asante Mungu nimeshindwa.

Nimekuwa tayari kiasi gani kuwasaidia wahitaji.

Mungu anatupa somo kubwa sana. Namwomba Roho wake Mungu atusaidia na kutufunulia mitihani ya maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…