Hujafa haujaumbika - God's Great

Hujafa haujaumbika - God's Great

YouTube - Conjoined Twins, Abby & Brittany Hensel turn 16

Mungu ni mkubwa. Hapa pia ni wengine ambao wamekuwa na mafanikio makubwa katika kuweza kukabiliana na challenges za kila siku kwa namna moja...hivyo natumaini pia kwa namna moja au nyingine Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata Mwakikuti watafanikiwa sana tu.

imgres
 
hao madogo dah wamenikanyaga mtimani ile mbaya hawawezi kutenganishwa hawa?

kaka hawa hauwezekai kutenganishwa, unaambiwa hakuna atakaebaki endapo ikijaribiwa hiyo.

Dah, glory be to God.
 
Ee Mungu mapenzi yako yatimie kuhusu vijana hawa.

Nimempa nini Mungu kuwa nilivyo. Ni mara ngapi nimelalamika nikitaka makubwa zaidi bila kufikiria nilikotoa, niliko sasa na Mungu ameshanipa mangapi lakini hata kusema asante Mungu nimeshindwa.

Nimekuwa tayari kiasi gani kuwasaidia wahitaji.

Mungu anatupa somo kubwa sana. Namwomba Roho wake Mungu atusaidia na kutufunulia mitihani ya maisha.
 
Back
Top Bottom