Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂Baada ya kuchagua mchepuo wa HKL pale A level sikuwahi kabisa kuwaza kuwa nitakuja kuvaa barakoa kama wale jamaa wa PCB. Lakini mwaka huu nimeivaa bila kupenda nikakumbuka wahenga kuwa "hujafa hujaumbika".
Sawa mjumbeNilishaitupa, ni mkosi
ndio zile alizosema RC tutumie hta vitenge au mashati yetu kutengenezeaNilivaa ile ya kitambaa cha fundi, jero tuu