Hujamaliza Kuuza Korosho wala kusikiliza ripoti ya CAG, Unasikia ya Liverpool

Hujamaliza Kuuza Korosho wala kusikiliza ripoti ya CAG, Unasikia ya Liverpool

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,812
Reaction score
1,373
*Mambo ni mengi muda ni mfupi*. Hujamaliza Kuuza Korosho wala kusikiliza ripoti ya CAG, Unasikia ya Liverpool kumtoa barca *Manara* Kuhamia yanga[emoji848]

Mara Mdude Chadema katekwa, Unapofuatilia msiba wa dr mengi, mara video ya Gwajima inaibuka hujakaa sawa ripoti ya IMF haionekani iko uvunguni. Kidogo tu unaskia Iringa kamwene, hujatulia vzr kama kweli yule Waziri wa mambo ya inside alivua nguo, *unasikia mwanasiasa amekomaa anamtaka Mungu amshukuru binadamu*.

Hujakaa sawa, Tottenham naye anakwenda Madrid. Mara usikie wachaga hawawezi toa hela kwa masikini/walemavu, upande wa pili mtu kafungwa goli 8. Mara mei mosi Tunyweni mtori nyama ziko chini, unaskia Yesu kaonekana Texas, mara paa video za askofu akiliamsha dude ... marekani.

Huku elfu arobaini wajitokeza interview, kule picha ya waziri wa zamani wa ulinzi wa Sudan siyo yenyewe, Bongo barua ya mkuu imegushiwa. Mara Paap, Kazuka na Jinsi lililotoboka Msibani, mara aliyepotea kapatikana, Mdude Chadema. mara paa wachaga wametaka kumliza tena mafhabahuni.Leo tena Mvua Mabondeni Balaa...

mara paap tunangoja jumatatu ataongea kituu...
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kaaaaaaz kweli kweli
 
Sijaelewa/nilipitwa hapo kwenye..
1.yesu kuonekana marekani
2.waziri wa ulinzi sudani sio mwenyewe
3.Barua kugushiwa

Maelezo kdg tafadhali
 
Back
Top Bottom