Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana.

Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe.

Hiyo ni anasa na ufujaji wa pesa!!

Maximum kwa siku tumia 5000/- kwa siku kwa ajili ya msosi.

Buku chai, buku jero lunch, buku jero dinner, buku maji na matunda...

Tuachane na anasa, pika mwenyewe nyumbani. Na gharama haitozidi elfu 5 kwa siku kwa ajili ya kula tu.

Niite,

Mjina Mrefu
Dadadeq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana their own standard of living, kuna mwingine hiyo elfu kumi ataona hata lunch haitoshi na kuna mwingine hiyo elfu tano ataona unafanya ufujaji. Kila mtu a stay kwa lane yake!
Hata kama unaingiza billions, kula buku ten kwa siku ni anasa.... Toa hata msaada kuliko kujijazia unene

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama naingiza 57000 je?
Halafu chakula cha mtanzania wa kati ni 5000. Supu au chai na mihogo mizuri ni 1500.
Sisi wajukuu wa Mizengo pinda tuendelee kula 3000 kwa siku ndo hali yetu.

Usichague kiongozi mbaya kisa ni chama chako
 
Wakuu,

Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana.

Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe.

Hiyo ni anasa na ufujaji wa pesa!!

Maximum kwa siku tumia 5000/- kwa siku kwa ajili ya msosi.

Buku chai, buku jero lunch, buku jero dinner, buku maji na matunda...

Tuachane na anasa, pika mwenyewe nyumbani. Na gharama haitozidi elfu 5 kwa siku kwa ajili ya kula tu.

Niite,

Mjina Mrefu
Dadadeq

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu umekulia maisha haya ya kitanzania ya kipato cha kati kula wali kila siku na ugali mchana afu upate pesa eti utumie buku ten kwa siku na uko bachela !!!!

Wakuu tumieni tu mtonyo maisha mafupi
Asubuhi: mgahawa wenye hadhi unapiga zako ma egg chop na ma soseji supu ya mbuzi au kongolo nk na chai ya maziwa plus kilimanjaro kubwa

Mchana: bugger au pizza au chips au biliyani yako nk na ka juice

Jioni: unapitia ice cream mini super market au maziwa mtindi pakti 2 au cake

Usiku: nyama choma au chips mayai na mishkaki au pizza au ndizi na nguruwe

NB
Siishi maisha hayo ila soon nita afford

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matumizi hayategemei upo peke yako au mpo family...

matumizi yanategemea kipato chako cha siku

chamuhimu ni kuwa makini tu matumizi yasizidi kipato ukajikuta umeangukia kwenye dimbwi la madeni..

lakini kusema eti utumie 1500 lunch hapana asee wengine maeneo waliyopo hakuna chakula cha bei hyo sasa wakae njaa?
 
Kila mtu ana budget zake mkuu tena hiyo kwa wengine ndogo sana, on my side linapokuja swala la kula naweka kipaumbele kuliko matumizi mengine.

Pia inadepend unakula nini na sehemu gani.
 
Back
Top Bottom