Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
We pambana na hali yako watu wanatumia hadi Tsh 50000 kwajili ya kula masaa 24Wakuu,
Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana.
Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe.
Hiyo ni anasa na ufujaji wa pesa!!
Maximum kwa siku tumia 5000/- kwa siku kwa ajili ya msosi.
Buku chai, buku jero lunch, buku jero dinner, buku maji na matunda...
Tuachane na anasa, pika mwenyewe nyumbani. Na gharama haitozidi elfu 5 kwa siku kwa ajili ya kula tu.
Niite,
Mjina Mrefu
Dadadeq
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app