Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
mtoa mada umaskini unakusumbua pata pesa then uje na haya maneno.
mtu na biashara zake kubwa anaishi masaki kweli aende kwa mgahawa wa chakula sahani buku jero...... kuna mambo mengi sana ya kuzingatia usalama na usafi + cheo na hadhi ya mtu.
chakula standard cha kawaida sana ni kuanzia buku 4+. umaskini ni tatizo kubwa sana katika jamii yaani naweza kuufananisha umaskini na kansa ya damu. Mungu nipe pesa nyingi zaidi nizitumie kuonesha ukuu wako natambua kuwa unauchukia sana umaskini ameeni
Sent using Jamii Forums mobile app