Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

Mfano posta kuna sehemu ugali nyama ni 1500,lakini kuna sehemu ni 4000,na kuna sehem ni 10000,tofauti yake cha 1500 nyama mbili,michuzi mingi na maharage sahani ya chakula ukiitazama huwezi kula,buku nne kidogo hata mtoto mzuri akikuta unakula huwezi jificha,buku kumi ndio balaa nyama za kutosha mambogamboga[emoji3][emoji3][emoji3]hapa ndio unasikia jamaa wanakula mboga badala ya ugali,maana ni nyingi kulko ugali wenyewe
Cha muhimu ni bajeti yako,usilazimishe 10000 wakti wewe ni 1500,maisha hapa duniani ni mafupi,enjoy kulingana na kipato ,wakati niko chuo unakula wali maharage wa mia nane lakini zilikua ni hatua za kupitia,vya bwerere vina gharama sana [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuingiza pesa mingi haimaanishi ndo uwe mlafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo singo hautakiwi kutumia zaidi ya 4000 kwa siku......mie natumia buku 3 kwa siku,ofisini kwangu na porini nikimaliza narudi kwa baiskeli home.
 
Asa elfu 5 kwa siku ..sijui lakin nilivokua A.level ndo ilikua bajet yangu ya siku.maisha ya shule mpk hom kwl ulcers zitakwama?
 
Back
Top Bottom