Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

Sio zangu hizo.
Ukipita maeneo haya itabidi uni PM tuburudike kidogo mkuu....

Mimi asubuhi [ breakfast ) kuanzia 5000 mpaka 8000 inategemea siku hiyo nitakuwa na mzuka wa nini.....

Mchana ( super lunch ) ni 9000 tu za kitanzia....

Chakula cha usiku naenda kulia nyumbani....

Kwa hiyo gharama ya breakfast na lunch 20000 fedha taslimu za kitanzia huwa naacha mezani Boss.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo wewe hio supu 2000 nakunywa sehemu posh kuliko makumbusho
Kumbuka offals sio supu mkuu....

Supu mara nyingi tunaitoa kwenye muscles sio offals boss....

Hizo offals watu wanakula tu kutoka na maisha ila kwenye aina za supu hiyo huwa hatuiweki kabisa kama supu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipita maeneo haya itabidi uni PM tuburudike kidogo mkuu....

Mimi asubuhi [ breakfast ) kuanzia 5000 mpaka 8000 inategemea siku hiyo nitakuwa na mzuka wa nini.....

Mchana ( super lunch ) ni 9000 tu za kitanzia....

Chakula cha usiku naenda kulia nyumbani....

Kwa hiyo gharama ya breakfast na lunch 20000 fedha taslimu za kitanzia huwa naacha mezani Boss.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sipiti huko. Especially asubuhi.
Kumbuka offals sio supu mkuu....

Supu mara nyingi tunaitoa kwenye muscles sio offals boss....

Hizo offals watu wanakula tu kutoka na maisha ila kwenye aina za supu hiyo huwa hatuiweki kabisa kama supu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mawazo shallow. Hujui kuna watu huwaambii kitu kwa supu ya utumbo? Mbona una mawazo ya kimaskini huku unajinasibu una hela za kuchezea...
 
Mkuu vipi huwezi kuandaa menyu homu mfano muhogo wako wa kuchemsha na samaki wa nguvu pembeni unatia kwenye akiba yako fresh hyo vipi?

Kesho unabadili unachemsha suou ya kuku na chapati zako unabeba ikifika time unafungua tu unajisevia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unavyojua shemeji yako hakuwepo ni hivi majuzi tu ndio karudi kutoka safari....

So na imani by mwezi huu nitakuwa napata breakfast ya nguvu kabla sijaenda kazini boss...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano posta kuna sehemu ugali nyama ni 1500,lakini kuna sehemu ni 4000,na kuna sehem ni 10000,tofauti yake cha 1500 nyama mbili,michuzi mingi na maharage sahani ya chakula ukiitazama huwezi kula,buku nne kidogo hata mtoto mzuri akikuta unakula huwezi jificha,buku kumi ndio balaa nyama za kutosha mambogamboga[emoji3][emoji3][emoji3]hapa ndio unasikia jamaa wanakula mboga badala ya ugali,maana ni nyingi kulko ugali wenyewe
Cha muhimu ni bajeti yako,usilazimishe 10000 wakti wewe ni 1500,maisha hapa duniani ni mafupi,enjoy kulingana na kipato ,wakati niko chuo unakula wali maharage wa mia nane lakini zilikua ni hatua za kupitia,vya bwerere vina gharama sana [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unavyojua shemeji yako hakuwepo ni hivi majuzi tu ndio karudi kutoka safari....

So na imani by mwezi huu nitakuwa napata breakfast ya nguvu kabla sijaenda kazini boss...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh mkuu ukitaka kula bata hasa andaa mwenyewe menyu rahisi mnoo...mfano tu

Uwe na samaki wako ndani ama supu ya kuku ama kuku wa kuchoma,then hapo mkuu unatafta vitafunwa kama viazi ama mihogo ya kuchemsha siku moja moja chapati.

Nakuambia mihogo ama viazi vina faida kubwa sana mkuu..
..vinginevyo kwa menyu zako wewe ni mnene tu ama uongo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipita maeneo haya itabidi uni PM tuburudike kidogo mkuu....

Mimi asubuhi [ breakfast ) kuanzia 5000 mpaka 8000 inategemea siku hiyo nitakuwa na mzuka wa nini.....

Mchana ( super lunch ) ni 9000 tu za kitanzia....

Chakula cha usiku naenda kulia nyumbani....

Kwa hiyo gharama ya breakfast na lunch 20000 fedha taslimu za kitanzia huwa naacha mezani Boss.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hiyo 20,000 ni 600,000 kwa mwezi. Mshahara wa watu wawili wanaofanya kazi customer care Vodacom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh mkuu ukitaka kula bata hasa andaa mwenyewe menyu rahisi mnoo...mfano tu

Uwe na samaki wako ndani ama supu ya kuku ama kuku wa kuchoma,then hapo mkuu unatafta vitafunwa kama viazi ama mihogo ya kuchemsha siku moja moja chapati.

Nakuambia mihogo ama viazi vina faida kubwa sana mkuu..
..vinginevyo kwa menyu zako wewe ni mnene tu ama uongo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwili wa kawaida mkuu...

Jioni huwa nafanya mazoezi ya kunyoosha viungo na kuzunguka uwanja....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kama unapika mwenyewe 5000 inatosha kabisa tena mlo kamili...ila kama ni hotelini utatumia pesa hadi ushangae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom