Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Ukipika mwenyewe, tena vyakula vya bei rahisi tu haifiki 10,000Afya ni bora kuliko mali Mkuu.
Vyakula vya bei nafuu mara nyingi havina ubora sana ni bora ujitahidi upike mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama unaingiza billions, kula buku ten kwa siku ni anasa.... Toa hata msaada kuliko kujijazia uneneKila mtu ana their own standard of living, kuna mwingine hiyo elfu kumi ataona hata lunch haitoshi na kuna mwingine hiyo elfu tano ataona unafanya ufujaji. Kila mtu a stay kwa lane yake!
Yani mtu umekulia maisha haya ya kitanzania ya kipato cha kati kula wali kila siku na ugali mchana afu upate pesa eti utumie buku ten kwa siku na uko bachela !!!!Wakuu,
Kusema kweli nawashangaa watu wengi sana.
Mtu unaishi peke yako, alafu unatumia Tsh 10,000 nzima kwa ajili ya msosi tu. Tena kwa ajili yako wewe mwenyewe.
Hiyo ni anasa na ufujaji wa pesa!!
Maximum kwa siku tumia 5000/- kwa siku kwa ajili ya msosi.
Buku chai, buku jero lunch, buku jero dinner, buku maji na matunda...
Tuachane na anasa, pika mwenyewe nyumbani. Na gharama haitozidi elfu 5 kwa siku kwa ajili ya kula tu.
Niite,
Mjina Mrefu
Dadadeq
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Kawaelfu 5 mbona nyingi sana mm elfu tatu inasukuma fresh
fresh tuuKama Kawa
Ina Maana We Huli?