Hujawahi kukutana na hii screen halafu unataka kuniscam, unaanzia wapi kwamfano?

Unenikumbusha 2010, nakumbuka ndiyo ilikuwa mala yangu ya kwanza kutumia hiyo operamini( Browser pekee nilikuwa nijua kipindi hicho ni Internet Explorer na icon yao nilikuwa nimeshaimeza).

Kipindi hicho nilitumia kama simu tatu za Nokia na zote nilikuta hiyo operamini sa sijui kipindi kile jamaa waliingia deal na Nokia App yao iwe preinstalled kwenye simu zote (kama Boomplay na Tecno na siblings wake) au watumiaji wa simu ndiyo walijiongeza.

Ila hiyo kumbukumbu imenijia.
 
kuna visimu flani vitochi vilikuwa ulikuwa ukiingia operamin kinakuwa na cursor kama ya computer nafikili zilikuwa ni kama nokia hivi na baadae tecno aisee nilikuwa silali usiku kucha nipo naperuz halafu kisimu kina mwanga mkali gheto unaonekana kama mchawi unanoneka uso tu kutokana na mwanga wa simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…