Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,046
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ACT mmeitengeza wenyewe sasa mmegundua ni mwiba? Sasa subirini mchongoma uchomekwe.ACT kikundi Hatari Sana kwa mustakbali wa Mapinduzi matukufu ya Znz, Muungano wetu Na ushirikiano
Bora kubaki Na Wafanya fujo ndogo ndogo Chadema ambao simetime huwa wanajirudi Kuliko Genge hili lenye ufadhili Mkubwa Sana wa Mabeberu Na Masultan
Ikiwezekana Sasa hivi Tanga lishushwe Na Jahazi lirudishwe Ufukweni
KubeneaChadema toeni tamko, ya kweli haya? Huyo mbunge afisa kamili wa TISS ni nani?
Kuna binadamu mna vichwa vigumu sanaa kuelewamoja ya hasara ya mitandao ni kama hii mada, nayo kuitumia kama kinga ya kujihami pale kosa linapofanyika. hapa bwana Chahali umetengeneza mazingira ya ACT kujihami na ikitokea siku ikifutwa uje useme tulisema kulikuwa na mpango wa kuifuta .
nyie si mmebaki na lipumba tatizo lipo wapi?ACT kikundi Hatari Sana kwa mustakbali wa Mapinduzi matukufu ya Znz, Muungano wetu Na ushirikiano
Bora kubaki Na Wafanya fujo ndogo ndogo Chadema ambao simetime huwa wanajirudi Kuliko Genge hili lenye ufadhili Mkubwa Sana wa Mabeberu Na Masultan
Ikiwezekana Sasa hivi Tanga lishushwe Na Jahazi lirudishwe Ufukweni
Unamuuni uyu?Chadema toeni tamko, ya kweli haya? Huyo mbunge afisa kamili wa TISS ni nani?
Kwaiyo Kubenea au Bulaya ndio afisa kamili wa TISS?Chahali umeweza kuwataja akina Nyaulingo na genge lake halafu umewaficha akina Yericko Nyerere,Saidi Kubenea,Nassari na Bulaya,nilikuwa tu nakukumbusha tu kwenye mashindano ya kusoma Quran mwaka huu pale uwanja wa taifa jiwe ni mgeni rasmi ili apige porojo za kampeni 2020 kwake ni rahisi kuwahadaa waislamu wasiojitambua njaa kali huku akiwapa vyeo wasukuma wa kikristo wa kanda ya ziwa kwa kisingizio cha udoctor na professor.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mtu muongo mara nyingi anapenda kujijengea mazingira watu wamuamini. Nilipofika sehem ya yeye kujisifia nkaacha kusoma nkajua tayari huko mbele yamejaa matango pori.Nimeshindwa kumaliza andiko ila it is just simple to say Serikali inakosea sana kuzuia sauti ya muungano wa wananchi wanaotafuta ubora wa maisha.
Kaka Chahali sio kila andiko lazima uandike oo mie ni jasusi, ooh, mie TISS Mstaafu. Ukiandika andiko zuri watu watapima kwa uelewa wako na kujua kaandika mtu wa aina gani na mwenye akili gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyetajwa?Hata leo asubuhi ametajwa kwenye taarifa ya habari!
Ndio hapo sasaHivi katika tetesi na hoja laizowahi kuleta huyu jamaa hapa ni ipi iliwahi kuwa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unawajua Yeriko na kubenea ni watu hatari sana ndani ya chadema kama chama kisipochukua hatua haraka kuwatimua ..Chahali umeweza kuwataja akina Nyaulingo na genge lake halafu umewaficha akina Yericko Nyerere,Saidi Kubenea,Nassari na Bulaya,nilikuwa tu nakukumbusha tu kwenye mashindano ya kusoma Quran mwaka huu pale uwanja wa taifa jiwe ni mgeni rasmi ili apige porojo za kampeni 2020 kwake ni rahisi kuwahadaa waislamu wasiojitambua njaa kali huku akiwapa vyeo wasukuma wa kikristo wa kanda ya ziwa kwa kisingizio cha udoctor na professor.
Sent from my iPad using JamiiForums
Acha ramli chonganishiKumbe unawajua Yeriko na kubenea ni watu hatari sana ndani ya chadema kama chama kisipochukua hatua haraka kuwatimua ..
Saidi kubenea Ataamia CCM mda sio mrefu lakini ningekuwa mm ni kiongozi chadema ningemfulusha kabla ajaenda CCM .
Nasari naye yupo mbioni kwenda CCM
Huwa unahangaika sana na hili la udini.Siyo uwongo, Jiwe ni mdini, tena mdini wa kutupa!
Waislamu wanajua na wanaongea kuhusu hili ila wamemuacha waone mbio zake zitaishia wapi!
Ukiangalia teuzi zake waislamu ni around 10 to 15% basi!. Ameridhika kuwa raisi wa Wakiristo badala ya kujihisi kuwa ni raisi wa watu wote!