technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kumbuka mwanahalisi lilivyo tumika utawala wa kikwete kuelezea wizi wa Lowassa bila kumuweka kikwete wakati wote majizi ..
CCM ni genge la kigaidi linalofanya siasa kwa mabavu ya dola.ACT kikundi Hatari Sana kwa mustakbali wa Mapinduzi matukufu ya Znz, Muungano wetu Na ushirikiano
Bora kubaki Na Wafanya fujo ndogo ndogo Chadema ambao simetime huwa wanajirudi Kuliko Genge hili lenye ufadhili Mkubwa Sana wa Mabeberu Na Masultan
Ikiwezekana Sasa hivi Tanga lishushwe Na Jahazi lirudishwe Ufukweni
[emoji23] Chief nimeshare tu, mimi sio mwandishi. Habari hii imeandikwa na Jasusi bobezi linaloishi Uskochi.Huwa unahangaika sana na hili la udini.
Magufuli mwenyewe ni mkiristo jina,atawabaguaje waislamu?
acheni chokochoko za kijinga na kipumbavu.
Au ninyi na chuki zenu za kigaidi mnataka kila kitu muamue ninyi kiswahili swahili?
Hamia Somalia yenye kila kitu cha dini yako acha kutuzengua na post zako za hovyo hovyo kila ikitajwa dini.
After all huyo Mleta mada naye hana lolote,kazi aliyobaki nayo ni kukisia.
Tanzania ni yetu sote,Tuilinde na kudumisha amani iliyo tunu yetu.
Waislamu wa kipindi hiki ni makada tu, hakuna tena wale waislamu wenye misimamo.Chahali umeweza kuwataja akina Nyaulingo na genge lake halafu umewaficha akina Yericko Nyerere,Saidi Kubenea,Nassari na Bulaya,nilikuwa tu nakukumbusha tu kwenye mashindano ya kusoma Quran mwaka huu pale uwanja wa taifa jiwe ni mgeni rasmi ili apige porojo za kampeni 2020 kwake ni rahisi kuwahadaa waislamu wasiojitambua njaa kali huku akiwapa vyeo wasukuma wa kikristo wa kanda ya ziwa kwa kisingizio cha udoctor na professor.
Sent from my iPad using JamiiForums
Mpango mbona uko too obvious ....... Tatizo ni sababu ndiyo ni kama vile haieleweki au wengi bado hatujaiona vizuri. Maana kama ni matokeo tu huwa wanajitangazia jinsi wanavyotaka wenyewe!!moja ya hasara ya mitandao ni kama hii mada, nayo kuitumia kama kinga ya kujihami pale kosa linapofanyika. hapa bwana Chahali umetengeneza mazingira ya ACT kujihami na ikitokea siku ikifutwa uje useme tulisema kulikuwa na mpango wa kuifuta .
Chahali umeweza kuwataja akina Nyaulingo na genge lake halafu umewaficha akina Yericko Nyerere,Saidi Kubenea,Nassari na Bulaya,nilikuwa tu nakukumbusha tu kwenye mashindano ya kusoma Quran mwaka huu pale uwanja wa taifa jiwe ni mgeni rasmi ili apige porojo za kampeni 2020 kwake ni rahisi kuwahadaa waislamu wasiojitambua njaa kali huku akiwapa vyeo wasukuma wa kikristo wa kanda ya ziwa kwa kisingizio cha udoctor na professor.
Sent from my iPad using JamiiForums
Hivii.. alisema anaongeza mishahara lini vileee?Watu wanafanya makosa makusudi then wanapotaka kuadhibiwa wanakimbilia mitandaoni kulalamika ili ije kuonekana kulikuwa na mpango wa kuwaadhibu.