DOKEZO Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

DOKEZO Hujuma Kubwa SGR: Inagoma kukata tiketi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

analysti

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
731
Reaction score
614
Rais Samia, kuwa makini na watumishi wa SGR, mfumo unagoma kukata ticket.

Process ya kukata ticket, inaenda mpaka unafikia hatua ya kuchagua seat, ukishachagua seat unapotaka kuelekea mbele kwa ajili ya malipo, mfumo unazunguka tu.

Ukisema uanze upya unakuta ile seat uliyokuwa umeichagua imekuwa labelled kama imeshachukuliwa. Train inajaa wakati watu hawajaweza kufanya malipo.

Hii ni hujuma kubwa dhidi ya juhudi za serikali za kuhakikisha usafiri unakuwa ni wa uhakika na wa haraka kwa ajili ya kukuza uchumi wa taifa.

Wito: Management ya SGR kama inashindwa kuendesha hili shirika, ni vyema wakajiuzulu ingali mapema kabisa, watanzania hatuko tayari kuona mradi huu unakufa huku tunaangalia.
 
Serikali hii haijawahi kufanya kwa ufanisi Jambo lolote lile ambalo ni zuri na lenye tija.

Ni suala la muda tu, huo Mradi wa SGR utakuja kufa kama yalivyokufa Mashirika mengine ya umma yaliyowahi kuwepo hapo miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom