nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Kila siku nasema yanga inaonewa sana kwa kweli, imagine mshambuliaji hatari aliyemzidi hata Mohamed Salah kwa magoals kwenye kwalifikesheni za afcon anaonekana kituko Bongo.
Kumbuka mtambo huo wa magoli toka burundi uliposhuka Bongo ulipewa file la wawa na onyango ila habari za uhakika zinasema wallace karia alituma watu wakaiba lile file na hiyo ndiyo sababu iliyomfelisha mtambo huo ulioletwa kuuongezea nguvu mtambo mwingine wa magoli toka Ghana uitwao Michael Sarpong.