nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
SAWA....habari mpya ni kwamba majembe mengine yanaingia wakati majembe ya zamani yakitokaHebu andika upya
majungu gani bwasheeeee Fiston kachemsha bongo, alipofika alipewa faili la wawa na onyango ,file limepotea kule ndani kulikuwa na mpango mzima wa yeye ku shine bongoKichwa Cha habari na habari yenyewe haviendani
Watanzania tupunguze kulalama kutwa kusiko na kichwa Wala miguu
Majungu na kulalama hakujengi chochote
Umedhihirisha uwezo wako wa akili ulivyo mdgoKichwa Cha habari na habari yenyewe haviendani
Watanzania tupunguze kulalama kutwa kusiko na kichwa Wala miguu
Majungu na kulalama hakujengi chochote
hata wakielewa wanajifanya hawajaelewaUmedhihirisha uwezo wako wa akili ulivyo mdgo
Mnalima nini msimu ujao?SAWA....habari mpya ni kwamba majembe mengine yanaingia wakati majembe ya zamani yakitoka
View attachment 1825350
AiseeUmedhihirisha uwezo wako wa akili ulivyo mdgo
nani aliyeiba faili ? kumbuka kuna mitambo mingine inashuka karibuni isije hizo hujuma zikajirudia ila atakuwa karia tu huyoAisee
You are a troubled individual
alivyoondoka wakasema ...yanga zinatoka mashine zinaingia mashineHilo Hilo gazeti Yikpe alipofika jangwani waliandika "mtambo wa magoli watua jangwani ,magolikipa wa upinzani wajiandae na gloves za chuma"
ubingwa ushahinidkana na wote wameshakubaliana ni fitna za karia as long as karia yuko pale yeye ndiye gunia la lawama hata huko CAf wakichemsha lawama kwa tffHalafu sehemu ya hilo gazeti niliyoipenda zaidi (chini kwenye angle ya kulia) ni hii :
'Tuna kikosi bora,mvua,jua,ubingwa ni wa Yanga'
Halafu pembeni ya hiyo statement kuna picha ya Utopolo Mkuu amekaa ametoa macho kama bundi anayetaka kuwatisha watoto wasilale vizuri usiku.
Gucho......ulitaka kusema Gaucho?Hata ukimleta gucho wa sasa bongo hafanyi kitu, mpora una enzi msajili nayeweka sasa
siyo kwamba karia na tff yake wanamfanyia figisu?...Fistoni hakuna kitu mule..
Shida huyu Fistula sijui alikazania kusoma faili la Wawa na Onyango tu akasahau mafaili ya mabeki wengine.majungu gani bwasheeeee Fiston kachemsha bongo, alipofika alipewa faili la wawa na onyango ,file limepotea kule ndani kulikuwa na mpango mzima wa yeye ku shine bongo