Leo hii ilikuwa Tanzania tuwe na Luxury Train zetu kama wenzetu ila hata ukimuuliza Boss wa Railway naona hajawahi kusikia Rovos Rail proud of Africa
Au Maharajas express yaani katika raha zote utajisikia kweli
Au Oriental express
Shangri - la Express ya China
Yaani sijui uzwazwa huu utatutoka lini
Mungu katupa ardhi ambayo wengine ni mataifa matajiri duniani lakini hawana hewa kama yetu ila wanajitahidi kwa mambo kama haya
Tunahitaji Train ya kitalii ya uhakika kama za wenzetu na zipite safari za mbuga za wanyama
Hizi ndio Luxury sasa ila hiyo sijui deluxe itasubiri sana kwa wengine
Railways lazima wabadilike wajifunze kwa wengine
Hivi oriental exp Ina miaka mingapi vile?
View attachment 1916439
View attachment 1916441
View attachment 1916442