Na pia aseme nini kilisababisha kuchelewa kama walichelewaKwanza ulitakiwa kabla ya kulaumu uttuambie kwa kawaida hiyo treni huwa inatoka muda gani na inatakiwa kufika saa ngapi?
Kuhusu uzembe kwa Watanzania imekuwa ni mazoea kwa usafiri wa mwendokasi mwendazake aliuachaje?
Kwa sasa amejipa kazi ya ubalozi wa utalii.
Wewe ni kidukuliloNiliyezoea kuendeshwa na limo na private jets haya mnayoyaongelea nayaona mageni sana kwangu. Ni kwenye kufa tu ndo tuko sawa.
Haha umenikumbusha documentary ya Iddi Amin anawazungusha wazungu kwenye zoo utasema yeye ni tour guide π€£Rais Anashoot video yuko location ili atangaze utalii
Legacy upuuzi mtupu.
Ila mama kafeli mapema sana
Deni la Bil 470 la ATCL ndio legacy hio.Tren ni upuuzi?
Alafu mama anaiita Royal tour,Dah,aisee π€£ π€£Haha umenikumbusha documentary ya Iddi Amin anawazungusha wazungu kwenye zoo utasema yeye ni tour guide π€£
Huenda haya ndiyo mambo anayoyamudu.Alafu mama anaiita Royal tour,Dah,aisee π€£ π€£
Mkuu kwa Sasa nauli DAR -ARUSHA n Bei gani maana Nina safar jumamosi hiiKawaida linatakiwa kutoka Arusha saa 8 mchana kufika Moshi saa 10 lifanyiwe usafi kuendelea saa 12 jioni,sa juzi linetoka Moshi saa 6 usiku
Inawezekana aisee,Tangu hii jamhuri imeanza sijawah kuona Rais anafanya michezo ya kuvuta kamba,hata kama meko alikuwa anatuaminisha "hii nchi imechezewa sana" ila hii ya sasa kali,Rais anacheza na dera? π€£ π€£ π π,Ngoja tuone UZALO itaishia wapiHuenda haya ndiyo mambo anayoyamudu.
Hakuna uhakika wa safari,mm nilikuwa namsafirisha mfanyakazi lakini amedai kwa style ile basi treni halina uhai mrefuMkuu kwa Sasa nauli DAR -ARUSHA n Bei gani maana Nina safar jumamosi hii
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ππππUna kavideo mkuu unipmInawezekana aisee,Tangu hii jamhuri imeanza sijawah kuona Rais anafanya michezo ya kuvuta kamba,hata kama meko alikuwa anatuaminisha "hii nchi imechezewa sana" ila hii ya sasa kali,Rais anacheza na dera? π€£ π€£ π π,Ngoja tuone UZALO itaishia wapi
Bora ife sio?Legacy upuuzi mtupu.
Bibi yako anazo!Kwani treni Dar Arusha huchukua muda gani??
Nauli yenyewe umelipa 8,700 kisha unataka usafirishwe kama umepanda Fresh ya Shamba.
Everyday is Saturday............................... π
Wachumia tumbo wawe na akili hizo nchi hii, we kaangalie kuna mabox yanaitwa 1st class Dar Mwanza, ndiyo utaelewa,Leo hii ilikuwa Tanzania tuwe na Luxury Train zetu kama wenzetu ila hata ukimuuliza Boss wa Railway naona hajawahi kusikia Rovos Rail proud of Africa
Au Maharajas express yaani katika raha zote utajisikia kweli
Au Oriental express
Shangri - la Express ya China
Yaani sijui uzwazwa huu utatutoka lini
Mungu katupa ardhi ambayo wengine ni mataifa matajiri duniani lakini hawana hewa kama yetu ila wanajitahidi kwa mambo kama haya
Tunahitaji Train ya kitalii ya uhakika kama za wenzetu na zipite safari za mbuga za wanyama
Hizi ndio Luxury sasa ila hiyo sijui deluxe itasubiri sana kwa wengine
Railways lazima wabadilike wajifunze kwa wengine
Hivi oriental exp Ina miaka mingapi vile?
View attachment 1916439
View attachment 1916441
View attachment 1916442
Neno "kudamka" ndo analojua pekee yake vizuri[emoji28]watu wako bussy na sherehe za mataifa mengine mwaliko kidgo tu kimooo