Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wachumia tumbo wawe na akili hizo nchi hii, we kaangalie kuna mabox yanaitwa 1st class Dar Mwanza, ndiyo utaelewa,
Tusipofundisha watoto wetu kupenda standards bila kujali watazitumia Au laah, hatufiki. Tutasafirishwa hivyo hivyo ka ng'ombe au gunia za mpunga na mahindi.
Everyday is Saturday............................. π
Umempa za uso.Kwani treni Dar Arusha huchukua muda gani??
Nauli yenyewe umelipa 8,700 kisha unataka usafirishwe kama umepanda Fresh ya Shamba.
Everyday is Saturday............................... π
Kuna tofauti Kati ya kudamka na kudemkaNeno "kudamka" ndo analojua pekee yake vizuri
Kwani Magu si alikuwa anapiga ngoma za kienyeji na kucheza kabisa? Au ile hukuona unaona vya dera tu?Inawezekana aisee,Tangu hii jamhuri imeanza sijawah kuona Rais anafanya michezo ya kuvuta kamba,hata kama meko alikuwa anatuaminisha "hii nchi imechezewa sana" ila hii ya sasa kali,Rais anacheza na dera? π€£ π€£ π π,Ngoja tuone UZALO itaishia wapi
Hata kwenye kufa hatuko sawa....wewe kama ukitaka utakufa umekunja nneNiliyezoea kuendeshwa na limo na private jets haya mnayoyaongelea nayaona mageni sana kwangu. Ni kwenye kufa tu ndo tuko sawa.
Legacy aliyoacha ni kuropoka na kutumia pesa hovyo utafikiria pesa mali yake,ccm walichagua mwehu mwenye file mirembe..mtu unafanya miradi bila mahesabu huku uchumi wa nchi unaporomoka na watu kuzidi kua maskini,kanunua madege kayapaki hayana kazi,heri shetani wenzake walimpenda kuliko ccmHuu utakuwa uzi wangu wa pili kuzungumzia mradi huu ambao Hayati aliacha kama Legacy. Kwa wanaosafiri mara kwa mara wanaweza kuja na maelezo ya kutosha sababu nilichoshuhudia jumamosi ni hatari kwa Tanzania Railways Corp .
Tumetoka Arusha usiku wa Jumamosi tumeingia Dar saa 10 jioni Jumapili.
Nani atapanda tena usafiri kama huu? Shirika linaenda kufa rasmi, labda tusubiri SGR ikamilike tuone kama wataweza. Kumbe uongozi kipaji bhana sio kila mtu anaweza kuongoza