Hujuma yafichuka mitungi gesi ya majumbani

kuna sehemu nulinunua gas ya 15kg ikadumu kwa mwezi mmoja kamili
nilihama pale sijawahi kurudia
ni kweli watakuwa wanatuibia
 
Karibia sehemu zote kunapouzwa gess hakuna mizani halafu mnasema tusinunue gess bila kupima!!!!
 
gas tunapigwa kinoma
 
japo sijui ujazaji wa mitungi unakuaje ila kwa akili ya kawaida tu mtu unapata wasiwasi
unanunua mtungi wa gesi unautingisha unasikia kabisa gesi inacheza kwenye nusu mtungi doh
ukimuuliza mangi hii inakuje anakuambia sio vizuri mtungi kujaa mpaka juu aisee
 
Kwanini za matanker ya mafuta na meter za Tanesco hazichezewi?
Sasa seal ya Tanesco hata ukiichezea utaokoa sh ngapi?
Matanker pamoja na kwamba Kuna seal lkn hata wavunje seal haisaidii kwani Kuna maximum allowable loss due to temperature. Yakipungua zaidi ya allowable loss hata Kama seal iko intact pingu zinamhusu dereva
 
Kwani kwenye mitungi unaibiwa shs.ngapi, milioni au? Na kwenye mitungi kwani hawana kiwango max. cha kuiba? Anaweza akaiba hadi mteja akibeba ashtuke?
 
Me nadhani kungekuwa na utaratibu pale unapobaini kuna elements za wizi zinakaribia kutokea then unawasiliana na mamlaka wawe na kikosi kazi kitakachokuja na mizani na kupima na endapo kuna changamoto then kiwanda kinapigwa fine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…