Hujuma yafichuka mitungi gesi ya majumbani

Me nadhani kungekuwa na utaratibu pale unapobaini kuna elements za wizi zinakaribia kutokea then unawasiliana na mamlaka wawe na kikosi kazi kitakachokuja na mizani na kupima na endapo kuna changamoto then kiwanda kinapigwa fine....
Sina uwakika sana ila nafikiri sheria inasema kila anayeuza ges awe na mizani
 
Tz wizi kila nyanja!
 
Wachaga na wizi ni chanda na pete
 
Kwan wakuu ki kawaida mtung mdogo ulio na gesi unatakiwa uwe na kilo ngapi
 

Ewura wanatakiwa kwà sasa wawe na ofisi kila wilaya na kila mkoa ili waweze kufanya kazi kiufanisi. Tofauti na sasa wanna ofisi za kanda na watumishi 100 nchi nzima. Ewura ni shirika la kibinafsi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…