Hujuma za kutisha uchaguzi mkuu wa BAWACHA - Mwanza

Hayo mambo ya CCM sidhani Kama chadema Kuna upuuzi Kama ccm, cdm cheo Ni utumishi, mateso, na kugawana majukumu, kwenda jela Ni sawa na kwenda chooni,

Sasa Nani atatoa hela kununua mateso
Kwa Ccm cheo Ni fursa, ufisadi na utukufu

Hebu kanipange upya na propaganda za kitoto
 
Nawe phalla huonagi aibu kuchangia?
 
Mambo ya chadema , na wakina mama wa CHADEMA waachieni wao ,
 
Hahaha bado mnafuatiliaga ya wanawake?
 
Hawa wahuni wamekuja kutuchafulia Jiji letu LA Miamba kwa mambo yao ya kihuni! Si wangebaki hukohuko Ufipa?
 
Two wrongs don't make a right.
I underestimated your abilities ila ulipotoa hadi video ku break out the news kwamba JPM is no more duh nkajua mzee upo serious.

At least kwa ile audacity ya kuruka youtube kabisa wakati ambapo nchi nzima ilikua ipo kwenye sintofahamu nakupa big up.
 
Lah.......ndio maana yule mwandishi feki anayerusha habari za majigambo leo hajatoa taarifa yoyote,

Demokrasia na Ulaji haviachani
 
Ukiuona mkia wa nyani unaanzaje kwanza kuulizia naniliu yake?
 
Naam kumekucha na yametimia alilopanga Mbowe ndilo limekuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…