Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi na uwekezaji sio vita vya uchumi.
Hata wanaoamoni tuliwahi kuwa katika vita vya uchumi ukiwaambia waelezee vita vya uchumi ni nini hawataweza kuelezea watabaki wanatoa macho tu.
Hata wanaoamoni tuliwahi kuwa katika vita vya uchumi ukiwaambia waelezee vita vya uchumi ni nini hawataweza kuelezea watabaki wanatoa macho tu.