Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
Yaani sasa hivi kila ukiingia mtandaoni unapigana na hisia zako usije kupata presha kwa hasira!
Aaaaaa! Wazee kabisa ambao vijana wanategemea muwe na busara kushauri mambo vizuri mnajitokeza kuongea upuuzi bila soni hata kidogo usoni!
Pia soma PostGE2025 - BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu
Yaani utafikiri hao polisi ni watoto wadogo wasioweza kujitambua ndio wamefanya mambo hayo! Kama vile hawajui sheria inasemaje hata unapodili na mwizi! Wakaona haitoshi wakaenda mpaka majumbani kumwaga kutekeleza ufedhuli wao!
Kwamba walishindwa kujizuia vidole vikapull a trigger na kuua, au sio BAKWATA?! What a disgrace kuwa na taasisi kama hii inayinabasaisha na dini🤬🤬🤬
Ila ukipitia uzi huu yote haya yanamake sense, hata kama Waislamu wengi hawajasoma haizekani wakawa makatili hivi na kukosa chembe ya utu - atlist hivyo ndio najaribu kuamini, maana nimechoka moyo na mwili kama Clemence - BAKWATA iliundwa na nani?